Ikiruhusiwa hii wangapi mtaenda kudai mpunga wenu?

Kutafuta ugomvi na bodi ya mikopo, sijawahi toa ada chuo.. Mkopo wangu ulikuwa 100%.. Na hadi leo sijarudisha hata mia
 
Hii ndio maana ya UJINGA aliokua anakemea BABA WA TAIFA
 
Kama umehesabiwa kwenye sensa ya mwaka huu lazima ulipe tu soon.
Utadaiwa hadi kaburini kama ukileta uhuni wako.
Kwani nina kazi sasa? Sina kazi toka nimemaliza chuo, kula kulala.. Mala moja moja napata vi deal vya laki au elfu 20 inatusaidia home basi maisha yanaenda. Kama ningekuwa na ajira ningekuwa nalipa. Sensa kitaa nilichopo hawakupita. So sijahesabiwa
 
hiyo haiwezi kuruhusiwa!

ukitoa vyeti na makaratasi yote unayopewa pale ukiitimu, elimu ya kweli ni ile nini inabaki kwenye fuvu yako. Kwahiyo uwezi kurudisha cheti upewe ada yako wakati elimu bado umebaki nayo kichwani kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…