johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wee unataka wabongo wapige kelele balaa. Bandari imetushinda mapato yanaishia mifukoni mwa watu, sasa wamesikia imekodishwa kwa watu wenye weredi kelele zishaanza. Same itakuwa kwa uwanja. Wabongo sijui sisi huwa tuko efficient kwenye kitu gani labda upigaji tu.Ndio kilichobaki aletwe kaburu kutuendeshea Uwanja wa Mkapa
Sisi tunataka burudani Siyo Siasa
Hata Tundu Lisu akitutafutia mwekezaji kutoka Ubelgiji kwa akina Mbwana Samatha na Lukaku ni Sawa tu
Tushachoka sasa bwashee!
Sisi Watanganyika tunaweza " Udalali" tu yaani UCHAWA!Wee unataka wabongo wapige kelele balaa. Bandari imetushinda mapato yanaishia mifukoni mwa watu, sasa wamesikia imekodishwa kwa watu wenye weredi kelele zishaanza. Same itakuwa kwa uwanja. Wabongo sijui sisi huwa tuko efficient kwenye kitu gani labda upigaji tu.
πππUkitaka kujua sisi hatuna akili angalia stand ya magufuli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukitaka kujua sisi hatuna akili angalia stand ya magufuli