johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndio kilichobaki aletwe kaburu kutuendeshea Uwanja wa Mkapa
Sisi tunataka burudani Siyo Siasa
Hata Tundu Lissu akitutafutia mwekezaji kutoka Ubelgiji kwa akina Mbwana Samatha na Lukaku ni Sawa tu
Tushachoka sasa bwashee!
Sisi tunataka burudani Siyo Siasa
Hata Tundu Lissu akitutafutia mwekezaji kutoka Ubelgiji kwa akina Mbwana Samatha na Lukaku ni Sawa tu
Tushachoka sasa bwashee!