Kwanini wajiendeleze kama wafit qualifications?Darasa la saba wamerudoshwa kazini Kwa sharti la kujiendeleza.
Hao wengine haihitaji kuwa mjamaa Ili kuwaondoa .
Mwisho Tija ilikuwa ipi mbona alizalisha mass unemployment?
Hatar kwel kwelMtu anaedinywa na Amsterdam ataacha kufanya ya Mwendazake?
Walifiti ndio maana ni UPE.Wamejiendeleza Kwa utaratibu Mpya wa Sasa.Kwanini wajiendeleze kama wafit qualifications?
Sema kabendera kumdharilisha sana Amiri jeshi mkuu wa Sasa sijajua mamlaka zinafikiri niniMtu anaedinywa na Amsterdam ataacha kufanya ya Mwendazake?
KWENYE MAISHA HAKUNA MAMBO YA BAHATI MBAYA WALA NZURIIkitokea bahati mbaya kibaraka na roporopo Lisu anakuwa Rais basi Tutarajie Ujamaa mwingine kurudi Tanzania zaidi ya ule wa awamu ya Magufuli.
Hao watu wanafanana Kwa Kila kitu tofauti Yao ni Vyama vya siasa na in fact huyo Lisu anaweza kuwa Dikteta zaidi ya Mwendazake.
Sifa za hao watu ni kama ifuatavyo,
1. Wanachukia wenye hela
Kiasi kwamba Kila jambo alifanya mwenye hela wanaita rushwa au hongo.
2. Wanachukia Wawekezaji
Hao Jamaa kwao uwekezaji ni kuuza Nchi,kugawa Rasilimali za Nchi na Kwa Lugha Yao kwamba watu wa Nje wanasomba tuu .Kumbuka Lisu Huwa anamsifia Magufuli kwamba alikuwa analinda Rasilimali za Nchi.
3. Wana majivuno ya kuona Wana Akili kuliko wengine
Mojawapo ya sifa za hao Jamaa ni kujiona Wana akili sana kuliko watu wote kiasi kwamba mawazo Yao ndio sahihi ila wengine hapana.
Hao Jamaa wote 2 Wana uwezo mkubwa sana wa kukariri mambo na kumbukumbu ndio maana Huwa huwakuti wanatumia reference mda mwingi.
4. Hao Hawawaamini Wengine Wala mawazo Yao
Hao mabwana mda wote Huwa wanahisi wanadanganywa au watadanganywa so usitarajie kwamba wao wanaweza pokea ushauri sana sana wataleta dharau.Kila mtu wanamuona ni mwizi na fisadi,ni watu wenye chaji na mitizamo hasi zaidi kuliko Chanya.
5. Wana misimamo mikali ya ujamaa
Hao mabwana ni wahafidhina,sifa Yao kuu ni kutokubali Mabadiliko na wako radhi kutumikia propaganda kuliko uhalisia.
Wakigundua wamekosea watatafuta visingizio vya kuangushia jumba bovu wengine.Kichaka Chao kikubwa Huwa ni wanyonge.Kiufupi wanaishi Kwa hisia na mihemko zaidi kuliko uhalisia.
6. Ni watu wa mihemko na hisia zaidi
Hao watu wa hivyo Huwa wanakawaida ya kufanya maamuzi Kwa mihemko na kukurupuka bila kutafakari,hawanaga utulivu wakidhani eti kufanya hivyo kunafanya waonekane ni majasiri.Mda wote wamekunja ndita,sura kama wanafoka nk.
7. Neno Haki ndio msingi wa propaganda zao
Katika kutekeleza hicho wanachoita Haki huishia kukandamiza Haki za msingi za wengine na kuumiza watu bila sababu Kwa kuwaonea Ili kufurahisha washabiki wao.
Neno Haki hutumika vibaya kuhalalisha udikteta.
8.Hujifanya Wacha Mungu Sana (Chui Kuvaa ngozi ya Kondoo).
Nadhani mnakumbuka Kila hotuba kumtaja Mungu Kwa watu hao Huwa hakuishia lengi ni kuwateka kisaikolojia maelfu ya wasioelewa.
Dini/Mungu anatumika kama cover ya kujifichia na kufichia mambo yake Ili wale wachache wenye ujasiri wakisema mtu huyu kafanya ovu Fulani wajinga watamtetea watasema alikuwa mtu wa Nguo sijui Ncha Mungu na blaa blaa zingine kama hizo.Ila ni watu makatili sana.
Angalizo
Watu wa hivyo ni hatari sana Kwa ustawi wa Maisha, biashara na Uchumi.
Ikitokea bahati mbaya tuu mtu kama kibaraka Lisu kuwa Rais basi mjue nyakati ngumu zile za awamu ya 5 zitarudi. Vilio vya vyuma Kukaza,propaganda Kwa Wingi,vitisho na kujifanya mtetezi wa wanyonge ndio utakuwa wimbo na Chaka la kufichia udhaifu.
Hutokuja kusikia mambo ya uwekezaji Wala biashara kushamiri mtaani ,hapo Serikali itashuka hatamu,hao watu Huwa na siasa za visasi.
Mageuzi ganiSina shida na Lisu kuwa Mwenyekiti wa Chadema Bali nina shida na Lisu kuwa Rais Kwa bahati mbaya.
Uzuri Mwendazake hakuishia Kwa Wanachadema Bali hata Wana c m na wengine wasio na Vyama ,so natoa tahadhari tuu.
Mwisho Mimi ni mshabiki wa Samia Rais mwana Mageuzi na sio shabiki wa Chama chochote Cha siasa.
Unaanzaje kuwalipa stahiki watu ambao waliingia kwenye mfumo WA ajira serikalini Kwa njia ya udanganyifu? Kama sio uwendowazimu huo ni Nini?Standard Seven ni vyeti fake? Mbona mama kawalipa stahiki zao unaweza mshitaki?
Lissu in the town again!Tumekusikia mwana ccm, mjiandae kisaikolojia...tunawaletea lissu, msiyempenda kaja!.
Kwani wagumu wagumu wamewahi fanya kipi Cha maana zaidi ya Kuharibu?We jamaa sijui umekulia familia ya wanawake wengi, unapenda sana viongozi laini laini sana.
Hao walaini wamefanya nini?Kwani wagumu wagumu wamewahi fanya kipi Cha maana zaidi ya Kuharibu?
Ukisoma.hoja yangu utaelewa kwamba walaini hufanya maisha ya utafutaji kuwa mepesi yaani pesa ipoHao walaini wamefanya nini?
Lissu awe rais wa kitu gani? Ebu elewesha vizuri tuelewe,Ikitokea bahati mbaya kibaraka na roporopo Lisu anakuwa Rais basi Tutarajie Ujamaa mwingine kurudi Tanzania zaidi ya ule wa awamu ya Magufuli.
Hao watu wanafanana Kwa Kila kitu tofauti Yao ni Vyama vya siasa na in fact huyo Lisu anaweza kuwa Dikteta zaidi ya Mwendazake.
Sifa za hao watu ni kama ifuatavyo,
1. Wanachukia wenye hela
Kiasi kwamba Kila jambo alifanya mwenye hela wanaita rushwa au hongo.
2. Wanachukia Wawekezaji
Hao Jamaa kwao uwekezaji ni kuuza Nchi,kugawa Rasilimali za Nchi na Kwa Lugha Yao kwamba watu wa Nje wanasomba tuu .Kumbuka Lisu Huwa anamsifia Magufuli kwamba alikuwa analinda Rasilimali za Nchi.
3. Wana majivuno ya kuona Wana Akili kuliko wengine
Mojawapo ya sifa za hao Jamaa ni kujiona Wana akili sana kuliko watu wote kiasi kwamba mawazo Yao ndio sahihi ila wengine hapana.
Hao Jamaa wote 2 Wana uwezo mkubwa sana wa kukariri mambo na kumbukumbu ndio maana Huwa huwakuti wanatumia reference mda mwingi.
4. Hao Hawawaamini Wengine Wala mawazo Yao
Hao mabwana mda wote Huwa wanahisi wanadanganywa au watadanganywa so usitarajie kwamba wao wanaweza pokea ushauri sana sana wataleta dharau.Kila mtu wanamuona ni mwizi na fisadi,ni watu wenye chaji na mitizamo hasi zaidi kuliko Chanya.
5. Wana misimamo mikali ya ujamaa
Hao mabwana ni wahafidhina,sifa Yao kuu ni kutokubali Mabadiliko na wako radhi kutumikia propaganda kuliko uhalisia.
Wakigundua wamekosea watatafuta visingizio vya kuangushia jumba bovu wengine.Kichaka Chao kikubwa Huwa ni wanyonge.Kiufupi wanaishi Kwa hisia na mihemko zaidi kuliko uhalisia.
6. Ni watu wa mihemko na hisia zaidi
Hao watu wa hivyo Huwa wanakawaida ya kufanya maamuzi Kwa mihemko na kukurupuka bila kutafakari,hawanaga utulivu wakidhani eti kufanya hivyo kunafanya waonekane ni majasiri.Mda wote wamekunja ndita,sura kama wanafoka nk.
7. Neno Haki ndio msingi wa propaganda zao
Katika kutekeleza hicho wanachoita Haki huishia kukandamiza Haki za msingi za wengine na kuumiza watu bila sababu Kwa kuwaonea Ili kufurahisha washabiki wao.
Neno Haki hutumika vibaya kuhalalisha udikteta.
8.Hujifanya Wacha Mungu Sana (Chui Kuvaa ngozi ya Kondoo).
Nadhani mnakumbuka Kila hotuba kumtaja Mungu Kwa watu hao Huwa hakuishia lengi ni kuwateka kisaikolojia maelfu ya wasioelewa.
Dini/Mungu anatumika kama cover ya kujifichia na kufichia mambo yake Ili wale wachache wenye ujasiri wakisema mtu huyu kafanya ovu Fulani wajinga watamtetea watasema alikuwa mtu wa Nguo sijui Ncha Mungu na blaa blaa zingine kama hizo.Ila ni watu makatili sana.
Angalizo
Watu wa hivyo ni hatari sana Kwa ustawi wa Maisha, biashara na Uchumi.
Ikitokea bahati mbaya tuu mtu kama kibaraka Lisu kuwa Rais basi mjue nyakati ngumu zile za awamu ya 5 zitarudi. Vilio vya vyuma Kukaza,propaganda Kwa Wingi,vitisho na kujifanya mtetezi wa wanyonge ndio utakuwa wimbo na Chaka la kufichia udhaifu.
Hutokuja kusikia mambo ya uwekezaji Wala biashara kushamiri mtaani ,hapo Serikali itashuka hatamu,hao watu Huwa na siasa za visasi.
Kinachombeba lissu ni kupenda haki, kufuata Sheria na kutopenda rushwa full stopIkitokea bahati mbaya kibaraka na roporopo Lisu anakuwa Rais basi Tutarajie Ujamaa mwingine kurudi Tanzania zaidi ya ule wa awamu ya Magufuli.

Hivi kama Samia ameweza kuwa rais atashindwa lissu?ππLissu awe rais wa kitu gani? Ebu elewesha vizuri tuelewe,
..umekariri bossLugha ya Demokrasia ni ya kutafutia madaraka ππ
Tangu lini watu wenye misimamo mikali wanapenda Demokrasia?
Ndio atashindwa kutengeneza Taifa Lenye ustawi na mshikamano.Hivi kama Samia ameweza kuwa rais atashindwa lissu?ππ
Utafutaji kwa kuwa chawa ndo unakuwa mgumuUkisoma.hoja yangu utaelewa kwamba walaini hufanya maisha ya utafutaji kuwa mepesi yaani pesa ipo