Ikitokea bahati mbaya mtu kama Lissu na wafuasi wake wa Itikadi kali anakuwa Rais, tutarajie hali ya vyuma kukaza kama awamu ya Magufuli

Darasa la saba wamerudoshwa kazini Kwa sharti la kujiendeleza.

Hao wengine haihitaji kuwa mjamaa Ili kuwaondoa .

Mwisho Tija ilikuwa ipi mbona alizalisha mass unemployment?
Kwanini wajiendeleze kama wafit qualifications?
 
Ikitokea bahati mbaya kibaraka na roporopo Lisu anakuwa Rais basi Tutarajie Ujamaa mwingine kurudi Tanzania zaidi ya ule wa awamu ya Magufuli.

Hao watu wanafanana Kwa Kila kitu tofauti Yao ni Vyama vya siasa na in fact huyo Lisu anaweza kuwa Dikteta zaidi ya Mwendazake.

Sifa za hao watu ni kama ifuatavyo,

1. Wanachukia wenye hela

Kiasi kwamba Kila jambo alifanya mwenye hela wanaita rushwa au hongo.

2. Wanachukia Wawekezaji

Hao Jamaa kwao uwekezaji ni kuuza Nchi,kugawa Rasilimali za Nchi na Kwa Lugha Yao kwamba watu wa Nje wanasomba tuu .Kumbuka Lisu Huwa anamsifia Magufuli kwamba alikuwa analinda Rasilimali za Nchi.

3. Wana majivuno ya kuona Wana Akili kuliko wengine

Mojawapo ya sifa za hao Jamaa ni kujiona Wana akili sana kuliko watu wote kiasi kwamba mawazo Yao ndio sahihi ila wengine hapana.
Hao Jamaa wote 2 Wana uwezo mkubwa sana wa kukariri mambo na kumbukumbu ndio maana Huwa huwakuti wanatumia reference mda mwingi.

4. Hao Hawawaamini Wengine Wala mawazo Yao

Hao mabwana mda wote Huwa wanahisi wanadanganywa au watadanganywa so usitarajie kwamba wao wanaweza pokea ushauri sana sana wataleta dharau.Kila mtu wanamuona ni mwizi na fisadi,ni watu wenye chaji na mitizamo hasi zaidi kuliko Chanya.

5. Wana misimamo mikali ya ujamaa

Hao mabwana ni wahafidhina,sifa Yao kuu ni kutokubali Mabadiliko na wako radhi kutumikia propaganda kuliko uhalisia.

Wakigundua wamekosea watatafuta visingizio vya kuangushia jumba bovu wengine.Kichaka Chao kikubwa Huwa ni wanyonge.Kiufupi wanaishi Kwa hisia na mihemko zaidi kuliko uhalisia.

6. Ni watu wa mihemko na hisia zaidi

Hao watu wa hivyo Huwa wanakawaida ya kufanya maamuzi Kwa mihemko na kukurupuka bila kutafakari,hawanaga utulivu wakidhani eti kufanya hivyo kunafanya waonekane ni majasiri.Mda wote wamekunja ndita,sura kama wanafoka nk.

7. Neno Haki ndio msingi wa propaganda zao

Katika kutekeleza hicho wanachoita Haki huishia kukandamiza Haki za msingi za wengine na kuumiza watu bila sababu Kwa kuwaonea Ili kufurahisha washabiki wao.
Neno Haki hutumika vibaya kuhalalisha udikteta.

8.Hujifanya Wacha Mungu Sana (Chui Kuvaa ngozi ya Kondoo).

Nadhani mnakumbuka Kila hotuba kumtaja Mungu Kwa watu hao Huwa hakuishia lengi ni kuwateka kisaikolojia maelfu ya wasioelewa.

Dini/Mungu anatumika kama cover ya kujifichia na kufichia mambo yake Ili wale wachache wenye ujasiri wakisema mtu huyu kafanya ovu Fulani wajinga watamtetea watasema alikuwa mtu wa Nguo sijui Ncha Mungu na blaa blaa zingine kama hizo.Ila ni watu makatili sana.

Angalizo

Watu wa hivyo ni hatari sana Kwa ustawi wa Maisha, biashara na Uchumi.

Ikitokea bahati mbaya tuu mtu kama kibaraka Lisu kuwa Rais basi mjue nyakati ngumu zile za awamu ya 5 zitarudi. Vilio vya vyuma Kukaza,propaganda Kwa Wingi,vitisho na kujifanya mtetezi wa wanyonge ndio utakuwa wimbo na Chaka la kufichia udhaifu.

Hutokuja kusikia mambo ya uwekezaji Wala biashara kushamiri mtaani ,hapo Serikali itashuka hatamu,hao watu Huwa na siasa za visasi.
KWENYE MAISHA HAKUNA MAMBO YA BAHATI MBAYA WALA NZURI
 
Wewe MPUMBAVVU SEMA tu umejiskia kumsema Magufuli Kwa mgongo wa Lissu, hebu ona hata comments unazojibu watu hazimuhusu Kwa chochote Lissu, Bali Magufuli.

Kinachonishangaza nyie wahanga wa awamu ya Tano, pamoja na kwamba mmerudi kwenye mirija ya ufisadi lakini bado mnaweweseka sana na jina la Magufuli, inavyonekana makovu aliowaachia Magufuli sio ya kupona leo Wala kesho.

Acha ujinga wewe wenzako wako bize wanalamba asali wewe huko Miranda huku unamsema marehemu ambaye hajui chochote kinachoendelea huku.
 
Sina shida na Lisu kuwa Mwenyekiti wa Chadema Bali nina shida na Lisu kuwa Rais Kwa bahati mbaya.

Uzuri Mwendazake hakuishia Kwa Wanachadema Bali hata Wana c m na wengine wasio na Vyama ,so natoa tahadhari tuu.

Mwisho Mimi ni mshabiki wa Samia Rais mwana Mageuzi na sio shabiki wa Chama chochote Cha siasa.
Mageuzi gani
 
Standard Seven ni vyeti fake? Mbona mama kawalipa stahiki zao unaweza mshitaki?
Unaanzaje kuwalipa stahiki watu ambao waliingia kwenye mfumo WA ajira serikalini Kwa njia ya udanganyifu? Kama sio uwendowazimu huo ni Nini?

Ndio maana nasema nyie wafuasi WA Samia mna akili duni sana kama yeye, angalia hata vitu mnavyoshabikia...!! Eti kawalipa stahiki zao shenzy kabisa.

Yaani mtu aliishia form four tu, kisha akaenda kufoji cheti Cha degree then akapata kazi serikalini inayomuhitaji mtu mwenye elimu ya degree, wakati huo mtaani Kuna wahitimu kibao wa elimu ya degree ambao hawana kazi...

Haya imekuja kubainika kwamba mtu huyo aliindanganya serikali kisha akaondolewa kazini Kwa kukosa sifa na nafasi yake kujazwa na mtu mwenye elimu na sifa sahihi...

Halafu leo anakuja raisi mwenye huruma za kipuuzi eti anamlipa stahiki zake kana kwamba alionewa, Sasa hiyo ni akili au matope???

Sasa hiki alichokifanya SI ni kuhalalisha udanganyifu WA kufoji vyeti? Hapo SI ni kama amefungulia mbwa kwa wazee WA vyetu feki?
 
uwongo mtupu yote ni mnahongwa

LISu akiwa RAIS ,tujiandae kufata Sheria na sivinginevyo
 
Ikitokea bahati mbaya kibaraka na roporopo Lisu anakuwa Rais basi Tutarajie Ujamaa mwingine kurudi Tanzania zaidi ya ule wa awamu ya Magufuli.

Hao watu wanafanana Kwa Kila kitu tofauti Yao ni Vyama vya siasa na in fact huyo Lisu anaweza kuwa Dikteta zaidi ya Mwendazake.

Sifa za hao watu ni kama ifuatavyo,

1. Wanachukia wenye hela

Kiasi kwamba Kila jambo alifanya mwenye hela wanaita rushwa au hongo.

2. Wanachukia Wawekezaji

Hao Jamaa kwao uwekezaji ni kuuza Nchi,kugawa Rasilimali za Nchi na Kwa Lugha Yao kwamba watu wa Nje wanasomba tuu .Kumbuka Lisu Huwa anamsifia Magufuli kwamba alikuwa analinda Rasilimali za Nchi.

3. Wana majivuno ya kuona Wana Akili kuliko wengine

Mojawapo ya sifa za hao Jamaa ni kujiona Wana akili sana kuliko watu wote kiasi kwamba mawazo Yao ndio sahihi ila wengine hapana.
Hao Jamaa wote 2 Wana uwezo mkubwa sana wa kukariri mambo na kumbukumbu ndio maana Huwa huwakuti wanatumia reference mda mwingi.

4. Hao Hawawaamini Wengine Wala mawazo Yao

Hao mabwana mda wote Huwa wanahisi wanadanganywa au watadanganywa so usitarajie kwamba wao wanaweza pokea ushauri sana sana wataleta dharau.Kila mtu wanamuona ni mwizi na fisadi,ni watu wenye chaji na mitizamo hasi zaidi kuliko Chanya.

5. Wana misimamo mikali ya ujamaa

Hao mabwana ni wahafidhina,sifa Yao kuu ni kutokubali Mabadiliko na wako radhi kutumikia propaganda kuliko uhalisia.

Wakigundua wamekosea watatafuta visingizio vya kuangushia jumba bovu wengine.Kichaka Chao kikubwa Huwa ni wanyonge.Kiufupi wanaishi Kwa hisia na mihemko zaidi kuliko uhalisia.

6. Ni watu wa mihemko na hisia zaidi

Hao watu wa hivyo Huwa wanakawaida ya kufanya maamuzi Kwa mihemko na kukurupuka bila kutafakari,hawanaga utulivu wakidhani eti kufanya hivyo kunafanya waonekane ni majasiri.Mda wote wamekunja ndita,sura kama wanafoka nk.

7. Neno Haki ndio msingi wa propaganda zao

Katika kutekeleza hicho wanachoita Haki huishia kukandamiza Haki za msingi za wengine na kuumiza watu bila sababu Kwa kuwaonea Ili kufurahisha washabiki wao.
Neno Haki hutumika vibaya kuhalalisha udikteta.

8.Hujifanya Wacha Mungu Sana (Chui Kuvaa ngozi ya Kondoo).

Nadhani mnakumbuka Kila hotuba kumtaja Mungu Kwa watu hao Huwa hakuishia lengi ni kuwateka kisaikolojia maelfu ya wasioelewa.

Dini/Mungu anatumika kama cover ya kujifichia na kufichia mambo yake Ili wale wachache wenye ujasiri wakisema mtu huyu kafanya ovu Fulani wajinga watamtetea watasema alikuwa mtu wa Nguo sijui Ncha Mungu na blaa blaa zingine kama hizo.Ila ni watu makatili sana.

Angalizo

Watu wa hivyo ni hatari sana Kwa ustawi wa Maisha, biashara na Uchumi.

Ikitokea bahati mbaya tuu mtu kama kibaraka Lisu kuwa Rais basi mjue nyakati ngumu zile za awamu ya 5 zitarudi. Vilio vya vyuma Kukaza,propaganda Kwa Wingi,vitisho na kujifanya mtetezi wa wanyonge ndio utakuwa wimbo na Chaka la kufichia udhaifu.

Hutokuja kusikia mambo ya uwekezaji Wala biashara kushamiri mtaani ,hapo Serikali itashuka hatamu,hao watu Huwa na siasa za visasi.
Lissu awe rais wa kitu gani? Ebu elewesha vizuri tuelewe,
 
Kinachombeba lissu ni kupenda haki, kufuata Sheria na kutopenda rushwa full stop
 
Back
Top Bottom