Mbuna bunge pia lina mamlaka ya kumuondoa rais madarakani akifanya makosa?Hicho kifungu cha katiba kinavunja katiba hiyo hiyo inayotambua uwepo wa mihimili mitatu ya serikali. Rais kuvunja bunge anakuwa anaingilia muhimili mwingine. Tulishasema katiba yetu ni viraka viraka sana hata wakati mwingine viraka vyekundu vinakutana na viraka vyeupe kwenye nguo nyeusi mpaka hata rangi halisi ya ngua inakuwa haijulikani.
Kiongozi gani wa chadema amesema hivyo?Chadema wanaaminika? Wanaopiga kelele livunjwe ni akina nani? Njaa ya Chadema itawazuia kushiriki ubunge kama wanauhakika wa kushinda?
Hakuna point Mwana CCM anaweza kuandika inshort 60% of CCM supporters are brainless.Ni kweli kabisa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayo mamlaka ya kuvunja bunge na kisha kuitisha uchaguzi. Sababu za kuvunja Bunge na kuitisha uchaguzi zipo ibara ya 90 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli kama Bunge litakataa kupitisha hoja ambazo zina maslahi kwa Taifa, Rais anaweza kuvunja Bunge.
Hivi sasa kuna hii sekeseke la wabunge kubishana juu ya mambo ambayo wengi wanaona kama hayana manufaa kwa umma. Wengi wa wafuasi na wakereketwa wa upinzani wanatoa wazo bunge livunjwe sababu limejaza wanaCcm kwa 99%.
Je likivunjwa na kuitishwa upya kuna mpinzani anayeweza kuchaguliwa na kushinda uchaguzi? Yaani wananchi wa Nyamagana wamchague mtu kama Pambalu kweli? Au watu wa Hai wamchague Mbowe na kumuacha huyu mbunge wa sasa? Kawe wamtose Gwajima. Mbeya je? Hii ni mifano tu ya kujiuliza.
Kwa sasa upinzani bado, unatakiwa ujipange.
Hata kikosi cha wasiojulikana ni cha CHADEMAChadema ni genge la wahuni, wanaongozwa ki gangster/Mafia style.
Mbowe kawapiga wenzake changa la macho akavuta hela akakimbilia Dubai kula good time baada ya kupokea mlungula wa kina Bulaya na Mdee.
Kwa tunaomjua Mafia Boss Mbowe hatushangai maana hata 2015 aliwapiga Chadema hivyo hivyo kwa Lowasa akampiga chini Slaa.
Mbele ya hela, mbowe yuko tayari kuuza hata familia yake.
Hao jamaa zako walishachangia nini cha maana? Acha uduwanzi.Tatzo hawa uvccm wanatumiaga matumbo kufikiri.
Hivi kwa mtu muelewa wa mambo anaweza mbeza Mbowe bungeni? Ukambeza Sugu kwa kumlinganisha na Tulia? Huyu ukimuuliza, hivi Tulia amewahi kujadili lipi lenye tija kwa Taifa, atajibu nini??
Uwezo wa huyu mtu ni mdogo kujadili mambo mazito ya kibunge!! Ni vile tu "uhuru wa kuongea"
Sina uhakika sana, lakini ndio hiyo 99% ya CCM itapungua?
Tuambie wewe uliona nini Hai kwa Mbowe, ili tuelimika na ikiwezekana wana Hai wengine tuchangie.Hua natamani kuandika kilichotokea HAI KWA MBOWE ila naishia kufuta ni aibu....
Wapo mkuu, si akina afande selle.🤣wewe ni mjinga katika wajinga. hakuna mtu mwenye akili timamu nchi hii ukaitishwa uchaguzi huru na haki atachagua ccm.
Hivyo ndiye unayemsemea ?Wewe umekuja kumtetea?
Hata bado ndiyo imeanza Tu kuwatafuna Na itawamalizaKwa zaidi ya 50% ccm ilipora ushindi kwa kutangaza wameshinda kumbe sio kweli. laana ile ndio inawatafuna ccm.
- Mbowe
- sugu
- lema
- matiko
- mikumi
- kawe