Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
- Thread starter
- #21
Mbuna bunge pia lina mamlaka ya kumuondoa rais madarakani akifanya makosa?Hicho kifungu cha katiba kinavunja katiba hiyo hiyo inayotambua uwepo wa mihimili mitatu ya serikali. Rais kuvunja bunge anakuwa anaingilia muhimili mwingine. Tulishasema katiba yetu ni viraka viraka sana hata wakati mwingine viraka vyekundu vinakutana na viraka vyeupe kwenye nguo nyeusi mpaka hata rangi halisi ya ngua inakuwa haijulikani.