Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningemuambia aliposhikilia asiachie maana heshima imeanza kurudi mtaani huku.Kwa Kuwa Watz wengi tunalalamika sana ama kusengenya sana
Ukikutana na Rais Magufuli Utamuuliza swali gani?
au utamwambia nini cha maana kwake na kwa Taifa?
watumishi wa taasisi nyeti kama TRA Bandari etcNingemshauri kwamba achunguze mali za kila mkuu wa idara na taasisi.
Kuanzia mawaziri ,makatibu wakuu,wakuu wa majeshi,wakuu wa mikoa na wilaya.
Na wakurugenzi wote wa mashirika mbalimbali nchini.
Kwa sababu hawa wengi wao ndio. waliofilisi hii nchi kwa awamu tofauti tofauti na kujinufausha sana. Hata migogoro ya ardhi na kufa kwa viwanda wengi wamechangia.
Hawa ndio walioua mfumo wetu wa elimu na kujenga mashule yao binafsi.
Hawa ndio waliokua wanaingia tenda za kuchapisha vitabu vya kufundishia mashuleni na kubadili vitabu kila mwaka na kuharibu mfumo wa ufundishaji na usomaji.
Hawa ndio majipu makuu kwenye taifa hili.
Wameharibu hii nchi kwa maksudi na sasa wanakuja kama malaika wa nuru wa kuwakomboa watanzania. Hawana nia njema kwa taifa letu kwani miaka yote walikua na nia ovu.
Kila atakayebainika kuwa na mali nyingi kupitiliza na zisizo halali basi akae tu pembeni na kuachia kizazi kingine chenye nia njema na taifa letu. Vinginevyo awaombe wale walioliibia taifa hili wajitokeze na kurudisha vile walivyoiba bila hata riba.
Hawa waliokwapua kwenye serikali hawataweza kufanya kazi kwa haki kwani wanamuingiliano na mgongano wa kimaslahi kila kona ya nchi.
ningemuuliza...
Jesca alimaliza form four mwaka 2011, na matokeo yakatoka 2012. Kama aliamua kureseat basi alireseat mwaka 2012. Then form five 2013/14 na form six 2014/15. Halafu first year 2015/16. That means alitakiwa kwa sasa awe first year. Lakini yupo 2nd year anaingia 3rd year.
au kama aliamua kutumia option ya Certificate basi alipaswa kusoma Certificate mwaka 2012/13. Then Diploma one 2013/14, na Diploma two 2014/2015. Halafu first year Bachelor 2015/16. That means alitakiwa kuwa first year kwa sasa. Lakini yuko 2nd year, anaingia third year. Swali je, Amefikaje?
NAHISI
MAJIBU YATAKUA.....KIPINDI CHOTE HICHO SIKUA NA MAMA YAKE AU HUKUSIKIA TULIGOMBANA NA KUTENGANA?
Afuate sheria na taratibu katika kutoa maamuzi! Mfano: Mamlaka ya kugawa fedha anayatoa wapi?Kwa Kuwa Watz wengi tunalalamika sana ama kusengenya sana
Ukikutana na Rais Magufuli Utamuuliza swali gani?
au utamwambia nini cha maana kwake na kwa Taifa?
Wewe umejoin leo unaleta kujua! Tulia uone veteran wanasemaje! Unajuaje kuwa hawana uzalendo? Una ushahidi?Kwanza nitampongeza kwa kazi nzuri ya kuwatumbua wasiokuwa na uzalendo na nchi yetu hasa waliopewa majukumu ya kulitumikia taifa katika mashirika ya umma lakini wanajinufaisha binafsi. Pili ningemshauri arudishe katiba ya warioba kwani ndio mwarobaini wa wala rushwa.
ya Katiba ya WariobaKwanza nitampongeza kwa kazi nzuri ya kuwatumbua wasiokuwa na uzalendo na nchi yetu hasa waliopewa majukumu ya kulitumikia taifa katika mashirika ya umma lakini wanajinufaisha binafsi. Pili ningemshauri arudishe katiba ya warioba kwani ndio mwarobaini wa wala rushwa.