Hellow Tanganyika,
Nchi yetu Ina mfumo wa vyama vingi vya siasa,
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi, na ikitokea Watanzania wakaamua kuipa CHADEMA kuongoza Nchi kutokana na udhaifu au kutokubalika Kwa mgombea KITI kikubwa wa chama Cha kijani, je magereza haya yatatosha?
Na ikiwa yatatosha, je yatawafaa wahalifu ambao Kwa sasa ni viongozi , wamethibitika kuwa na hatia mbele ya Sheria?
Yaani Butimba, Segerea nk nk Yana hadhi ya kupokea Hawa Wala rushwa wenye ukwasi mkubwa,au wataomba selo spesho za kulipia zijengwe kuwahifadhi?
Karibuni🙏