Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Hivi unajua kuwa ingetokea kila mtu angepewa kipande cha Cha jiwe hili ambalo liko Angani (asteroids) basi watu wote duniani wangekua bilionea!!!
Ikitokea binadamu tukiamua kuchimba madini basi Angani Kuna jiwe kubwa lenye madini ambayo ikitokea amepewa kila binadamu kipande basi wote tutakua matajiri. Jiwe ili linapatikana kati kati ya Sayari Mars na Jupiter.
Linaitwa Asteroids Psyche 16, Ina Thamani kubwa sana kwa hapa Duniani ambapo inatosha kila mtu kwenye Sayari ya Dunia kuwa bilionea.
Kwa bei za sasa, dhahabu iliyomo kwenye asteroid 16 Psyche inasemekana kuwa na thamani ya $700 quintillion ya kutosha inafanya kila mtu kwenye sayari hii ya Dunia kuwa na utajiri wa Dola $93 bilioni ulimwenguni kote.