Afadhali umekula ban ulikuwa unasumbua sana mxeeewGUGUDUME waziri
Manaibu
1. NYANI NGABU
2. GENTAMYCENE
Mi mwnyw siwezi aiseeHahaaa. Umekuwa ka mie yaani kila nikijitahidi lakini wapi najiona natoka kapa tu.
Kuna kitu unakitafuta na ntakupatia endelea kutokota[emoji15] [emoji15] [emoji87]
Eti unasema nikasubscribe kabisa kule celeb forum ili nijionee ubuyu anaotoa
" Mzigua 90 "
Bado hujanishawishi moyo wangu unadai huyu Dada hana tabia hizo namuelewa. [emoji85] [emoji4]
Nakazia hapoHearly huyuuu loooh anaongozaa
hahahahahahahhaha I cant you for sureMi napenda kule kwny kupandana ubuyu sipo kabisa
nahisi Mimi nafaa kuwa waziri maana najua vitu vingii humu na evidence juu mpaka najiogopagaa,kwa umbea kama namba moja sishiki nashika mbili wallah[emoji23][emoji23][emoji23]mbn wee umejitoa
Hahahahaha sijaamua tuMi hapo sijaona hata mmoja
Ndo ufanye maamuzi sasaHahahahaha sijaamua tu