Ikitokea kuanzishwa wizara ya umbea member gani wa JF anastahili kuwa waziri?

Ikitokea kuanzishwa wizara ya umbea member gani wa JF anastahili kuwa waziri?

[emoji15] [emoji15] [emoji87]
Eti unasema nikasubscribe kabisa kule celeb forum ili nijionee ubuyu anaotoa
" Mzigua 90 "
Bado hujanishawishi moyo wangu unadai huyu Dada hana tabia hizo namuelewa. [emoji85] [emoji4]
Kuna kitu unakitafuta na ntakupatia endelea kutokota
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mbn wee umejitoa
nahisi Mimi nafaa kuwa waziri maana najua vitu vingii humu na evidence juu mpaka najiogopagaa,kwa umbea kama namba moja sishiki nashika mbili wallah
sema baby kanikataza maugomvi tenaaa hatakii nirumbane kabisa
 
Back
Top Bottom