Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?

Huu Uzi nitaufikisha kwa mamamwenye nyumba nitamuelezea kwa kina pm anavyo muandama huku jf najua nikimwambia ni yule wa sabasaba na nanenane ataelewa haraka.
 
Wana MMU,
Salaam.
kuna kiongozi mwanamke ana jicho hilo!.
Paskali.
Mwenzenu leo niko njia panda!, mimi ni mpenzi wa macho fulani, kuna jicho fulani mimi hoi!, sasa kwenye karatasi ya kura za urais, kiukweli leo nitachanganyikiwa, baada ya kukuta jicho ninalopenda liko kwa mtu zaidi ya mmoja kwenye karatasi ya kura!, sasa najikuta niko njia panda sijui nichague kiongozi bora au nichague kipendacho moyo, ambacho ni macho?.

P
 
9.Usitamani Mwanamke asiye Mke wako

kura mpe yule makamu kijana mwenzako wa kinzazibar...achana na mawazo ya ngono mwezi wa Rosari
 
Una nyege?
 
Achana kabisa na Mayala kama hujui nakujuza honeymoon yake alimpeleka mrs wake London na moja ya mshahara wake kama ulivyo bila kupunguza senti aliukabidhi kwa nchumba ake enzi hizo.
 
Hakika lile jicho daa mi nilikua naona aibu si kutokana na cheo chake ila ni kutokana na umri wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…