Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?

Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?

Wana MMU,
Salaam.
kuna kiongozi mwanamke ana jicho hilo!.
Paskali.
Mwenzenu leo niko njia panda!, mimi ni mpenzi wa macho fulani, kuna jicho fulani mimi hoi!, sasa kwenye karatasi ya kura za urais, kiukweli leo nitachanganyikiwa, baada ya kukuta jicho ninalopenda liko kwa mtu zaidi ya mmoja kwenye karatasi ya kura!, sasa najikuta niko njia panda sijui nichague kiongozi bora au nichague kipendacho moyo, ambacho ni macho?.

P
 
9.Usitamani Mwanamke asiye Mke wako

kura mpe yule makamu kijana mwenzako wa kinzazibar...achana na mawazo ya ngono mwezi wa Rosari
 
Wana MMU,
Salaam.

Sisi binaadamu kila mtu ana kitu chake anachopenda ndani ya moyo wake, akikiona apendacho, roho kwatu.

Sasa inapotokea wewe unapenda macho, halafu kukatokea kuna kiongozi mwanamke ana jicho hilo, wewe ukimuona unafurahi na huchoki kumwangalia.

Jee kuna ubaya ukimsifia kiongozi huyo au itaonekana huo ni ukosefu wa adabu, heshima na ustaarabu?.

Kama kiongozi fulani amejaaliwa, kuna ubaya wowote kumsifia?.

Nimeuliza hili swali kufuatia kuangalia ITV matangazo ya moja kwa moja, mubashara, ya Tuzo za I Can, zinazotolewa na Reginald Mengi kupitia Taasisi yake ya Reginald Mengi Foundation, inayo wasaidia watu wenye ulemavu.
Paskali.
Una nyege?
 
Duuhh kwa uzi huu , mkuu Mayalla ni bora ulizaliwa zaman saiz una mke na watoto.

BILA HIVO izi ligi za ujana kwasasa usingeziweza kabisa , na watoto wakali wakali km Jokate, Usingethbutu hata kumshika mkono maana ni kiongozi alafu ni mkaliiii kinyama.

Watoto hawa wanapenda sisi masela, ambao tunajiamin kiasi kwamba hata mbele za vyombo vya habar bado unaweza mwambie "Mkuu wangu umependeza sana nahayo macho yako mimi najikuta ulimi unakua mzito"

Utamuona anacheka cheka kwa aibu alafu anakujibu " hahah Pascal bwanaaaa ,aya nashukuru sana".

Umenikumbusha Mzungu mmoja m'mama alinifundishaga Pathology , sasa huyu mama kila nlipokutana naye namsifia kinyamaa, aiseeee kuna likizo yupo Kwao Ujeruman alivorudi kanilitea Bongee la zawadi .

NASIKITIKA KUKUAMBIA WATOTO WAKALI WAKALI WOTE UNGEWAITA SHEMEJI
Achana kabisa na Mayala kama hujui nakujuza honeymoon yake alimpeleka mrs wake London na moja ya mshahara wake kama ulivyo bila kupunguza senti aliukabidhi kwa nchumba ake enzi hizo.
 
Hakika lile jicho daa mi nilikua naona aibu si kutokana na cheo chake ila ni kutokana na umri wake
 
Back
Top Bottom