ckuamua ilikuaja naturaly
Hebu rudia swali lako mama. Naona kama sijaliona vizuri............... Yaani mama watoto wangu awe na rafiki wa kiume ambaye anaenda kumwambia matatizo ya familia yangu? Yaani............. Sielewi bado.😡
unamaanisha kufanya ngono na mke/mume wa mtu?wa jinsia tofauti
uk-ido na rafiki yako mnaharibu au ndo mme-cement urafiki???
mom ....kusema ukweli sikuwa na rafiki wa jinsia tofauti wa kihivyo.............rafiki close nnao lakini sio wa kwenda (a) kwake (b) sehemu private tuko na yeye tu.
juu ya hivyo, baada ya kuwa kwenye ndoa nimepunguza urafiki...................sitafutani nao kihivyo, na kuwatafuta kwangu ni kuwaalika kwangu for dinner or lunch na mimi na mume wangu...................mimi na yeye faragha hamna hata kidogo.
at the end now wamekuwa rafiki wa mume wangu kuliko mimi...................wanatafutana bila ya mimi kuwa na habari.
kwa ufupi urafiki umepungua...........status yangu haini ruhusu kuwa na marafiki wa kihivyo nafikiri
utubu kwa mola wako .....................na uombe akustiri jambo hilo lisijuulikane kwa mume wako na kwa mke wake.
baada ya hapo urafiki nakushauri UFE moja kwa moja wala usifufuke kabisa..................na uache kuwa na marafiki wa jinsia tofauti ambao unakutana nao faragha.
Well Said!! You can say that again again and again.
Sasa mwambie mama atubu dhambi zake na asirudie tena kutenda dhambi. Then ndio tuanze kumpa ushauri nasaha..
utubu kwa mola wako .....................na uombe akustiri jambo hilo lisijuulikane kwa mume wako na kwa mke wake.
baada ya hapo urafiki nakushauri UFE moja kwa moja wala usifufuke kabisa..................na uache kuwa na marafiki wa jinsia tofauti ambao unakutana nao faragha.
nadhani B mtakuwa mmecement kwa twiga cement au sio?:A S tongue:
Confess!
ckuamua ilikuaja naturaly
Unathubutu kuandika haya hapa mama? Dah!
Haya wakati unafanya huo uhuni, ndoa yako ilikuwa na umri gani?
ok ngoja nikaulize ilikua na umri gani. kumbe naandika upuuzi, umri huu jamani nazeeka akili mom mie
Binamu X-pin wacha jazba wewe ni mtaalam wa saikolojia msaidie mom.:A S-confused1:
ckuamua ilikuaja naturaly
Pole Mom kwa sababu kosa lilishatendeka nadhani unajutia sana moyoni mie sikuhukumu hata kidogo ..lakini kwa nini uliamua ku do- na rafiki yako ? ina maana mzee alikuwa anakunyima unyumba?