Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
awapi si ajabu nae yuko busy na kilaputopu chake anachat jf hajui kama mkewe yumo!
wewe ni mwanamke/mwanaume una rafiki ambae mlipatana sana na kuheshimiana. wewe umeoa/kuolewa nae pia ana mwenzi wake, sasa inatokea kwenye ndoa yako kuna migogoro mingi inayopelekea hata kuiona ndoa chungu. rafiki yako huyu humshirikisha katika maamuzi shida zake na ni mshauri wako mzuri.
inatokea cku moja unaenda kwake baada ya kukorofishana na mwenzi wako huko home na unamkuta mwenyewe katika ile kukupoza upunguze hasira mnajikuta mko katika step nyingine ambayo hukutarjia na at the end mnafanya kitendo ambacho kimekua majuto kwako mpaka leo hii hutamani kumwona huyo rafiki tena!
...hii ni kawaida, tena inatokea sana. Ndio maana tunashauriwa unapokuwa na grievances za ndoa (hasa nyie kina mama!) ni bora kuwa muwazi kwa mumeo, au angalau kwa ndugu wa kike wa mumeo.
Miaka ya karibuni kuna chat up line mpya zimekuwa zinatumika sana kuwanasa wanawale walio kwenye ndoa, mojawapo ikiwa ni "...unaonekana hauna furaha kwenye ndoa yako!",... IQ ya mkeo ikiwa sawa na size ya kiatu chake, mmekwisha.
wewe ni mwanamke/mwanaume una rafiki ambae mlipatana sana na kuheshimiana. wewe umeoa/kuolewa nae pia ana mwenzi wake, sasa inatokea kwenye ndoa yako kuna migogoro mingi inayopelekea hata kuiona ndoa chungu. rafiki yako huyu humshirikisha katika maamuzi shida zake na ni mshauri wako mzuri.
inatokea cku moja unaenda kwake baada ya kukorofishana na mwenzi wako huko home na unamkuta mwenyewe katika ile kukupoza upunguze hasira mnajikuta mko katika step nyingine ambayo hukutarjia na at the end mnafanya kitendo ambacho kimekua majuto kwako mpaka leo hii hutamani kumwona huyo rafiki tena!
kumbe inatokea kwa wengi! watu hawaamini hapa
Masa bana acha uchokoziKitendo gani hicho? Hakuna watoto humu mom hebu eleza kwa ufasaha! Alikukaribisha chai, kisha ikakumwagikia sehemu za siri au?