Ikitokea Makonda amekuwa rais wa Tanzania huko mbeleni unashauri mambo gani yawe kipaumbele chake siku 100 za kwanza madarakani?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Hakuna ajuaye ya kesho na mipango ya Mungu siyo mipango ya mwanadamu

Ni kuhusu Mheshimiwa Paulo Makonda Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa sasa.

Naomba maoni yenu kuhusu mambo kumi (10) ya kipaumbele unayopendekeza Mheshimiwa Makonda aanze nayo miaka ijayo ikitokea akachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Karibuni kwa maoni

Usiku mwema wenye baraka tele Ndugu zangu
 
Rais wa 2030 atatoka Kigoma, Ni Mkatoliki ni Msomi na anachukia rushwa kwa nguvu na moyo wake wote.
 
Huyu Makonda kamwe hawezi kuwa rais. Unajua sababu ya Makonda kuondolewa uenezi? Dona kantri duniani zilitoa ONYO kwa serikali ya ccm kuenezwa na mtoa roho za watu (as you may recall, this guy was banned to enter USA).
 
Wadau hamjamboni nyote?

Hakuna ajuaye ya kesho na mipango ya Mungu siyo mipango ya mwanadamu

Ni kuhusu Mheshimiwa Paulo Makonda Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa sasa.

Naomba maoni yenu kuhusu mambo kumi (10) ya kipaumbele unayopendekeza MheshimiMakonda aanze nayo miaka ijayo ikitokea akachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Karibuni kwa maoni

Usiku mwema wenye baraka tele Ndugu zangu
Arudishe lile kundi lake na Magufuli la watu wasiojulikana.
 
Ajiendeleze mafunzo ya "Leadership".kwa sasa bado,alisema mwenyewe "hajajifunza kitu",kwamba yeye ni yule yule wa zamani.

Hajui kuwa yule wa zamani anatuhumiwa kwa mambo mengi aliyoyafanya ndivyo sivyo.Bado anajisahau na kufanya udhalilishaji mbele ya kamera,kutokuheshimu wengine,kutengeneza kiki,anafikiri ndio ataonekana anafanya kazi.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Hakuna ajuaye ya kesho na mipango ya Mungu siyo mipango ya mwanadamu

Ni kuhusu Mheshimiwa Paulo Makonda Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa sasa.

Naomba maoni yenu kuhusu mambo kumi (10) ya kipaumbele unayopendekeza Mheshimiwa Makonda aanze nayo miaka ijayo ikitokea akachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Karibuni kwa maoni

Usiku mwema wenye baraka tele Ndugu zangu
Kwenda zako
 
Bahati mbaya anaweza kua front line yeye peke yake
 
That is unlikely.
Hawa watu waliomfukuza kutoka kwenye secretariat ndio wanaamua nani atakuwa rais.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Hakuna ajuaye ya kesho na mipango ya Mungu siyo mipango ya mwanadamu

Ni kuhusu Mheshimiwa Paulo Makonda Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa sasa.

Naomba maoni yenu kuhusu mambo kumi (10) ya kipaumbele unayopendekeza Mheshimiwa Makonda aanze nayo miaka ijayo ikitokea akachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Karibuni kwa maoni

Usiku mwema wenye baraka tele Ndugu zangu
"Nightmare of Rome" Kuna kipindi katika MEDIEVAL ERA in Europe Kuna jamaa alipata nguvu na power kias Cha kuzi ogofya dola nyingi na kua tishio..

"THE NIGHTMARE OF ROME"
 
Suala la kuwa rais daah he hee itakuwa mipango ya mungu ila ss wachumia tumbo tutasema hafai yani nasema hili kutoka moyoni huyu kiumbe akipitishwa kura za maoni pale dodoma ukasikia ndiye mgombea urais kuna wee watu tena mafisadi watahama nchi nawaambia hata sheria yakunyonga watu mtaiona live hata acha fisadi eti mpelekane mahakamani huyu atachukua sheria mkononi Kama anandugu Israel sembuse nyie wezi yani natamamani maombi yako mungu ayawezeshe. Mungu sikiliza sala za huyu mtu. Hahaaaaaa
 
Wadau hamjamboni nyote?

Hakuna ajuaye ya kesho na mipango ya Mungu siyo mipango ya mwanadamu

Ni kuhusu Mheshimiwa Paulo Makonda Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa sasa.

Naomba maoni yenu kuhusu mambo kumi (10) ya kipaumbele unayopendekeza Mheshimiwa Makonda aanze nayo miaka ijayo ikitokea akachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Karibuni kwa maoni

Usiku mwema wenye baraka tele Ndugu zangu
Labda awe Rais Wa Manzese
 
Back
Top Bottom