Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
🤣🤣🤣Kwako Lucas 😀
Kambi ya wakimbizi🥺Rais wa 2030 atatoka Kigoma, Ni Mkatoliki ni Msomi na anachukia rushwa kwa nguvu na moyo wake wote.
Arudishe lile kundi lake na Magufuli la watu wasiojulikana.Wadau hamjamboni nyote?
Hakuna ajuaye ya kesho na mipango ya Mungu siyo mipango ya mwanadamu
Ni kuhusu Mheshimiwa Paulo Makonda Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa sasa.
Naomba maoni yenu kuhusu mambo kumi (10) ya kipaumbele unayopendekeza MheshimiMakonda aanze nayo miaka ijayo ikitokea akachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Karibuni kwa maoni
Usiku mwema wenye baraka tele Ndugu zangu
GwajimaRais wa 2030 atatoka Kigoma, Ni Mkatoliki ni Msomi na anachukia rushwa kwa nguvu na moyo wake wote.
Kwenda zakoWadau hamjamboni nyote?
Hakuna ajuaye ya kesho na mipango ya Mungu siyo mipango ya mwanadamu
Ni kuhusu Mheshimiwa Paulo Makonda Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa sasa.
Naomba maoni yenu kuhusu mambo kumi (10) ya kipaumbele unayopendekeza Mheshimiwa Makonda aanze nayo miaka ijayo ikitokea akachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Karibuni kwa maoni
Usiku mwema wenye baraka tele Ndugu zangu
"Nightmare of Rome" Kuna kipindi katika MEDIEVAL ERA in Europe Kuna jamaa alipata nguvu na power kias Cha kuzi ogofya dola nyingi na kua tishio..Wadau hamjamboni nyote?
Hakuna ajuaye ya kesho na mipango ya Mungu siyo mipango ya mwanadamu
Ni kuhusu Mheshimiwa Paulo Makonda Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa sasa.
Naomba maoni yenu kuhusu mambo kumi (10) ya kipaumbele unayopendekeza Mheshimiwa Makonda aanze nayo miaka ijayo ikitokea akachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Karibuni kwa maoni
Usiku mwema wenye baraka tele Ndugu zangu
Amwombe msamaha Warioba na atubu mbele za ummaWadau hamjamboni nyote?
Hakuna ajuaye ya kesho na mipango ya Mungu siyo mipango ya mwanadamu...
Labda awe Rais Wa ManzeseWadau hamjamboni nyote?