DuhIkitokea tumekutana na Mikia iwe nusu au fainali tutawaachia Mikia watufunge ili msimu ujao wapate nafasi ya kushiriki Kimataifa hii ni baada ya TFF kubadili kanuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaaIkitokea tumekutana na Mikia iwe nusu au fainali tutawaachia Mikia watufunge ili msimu ujao wapate nafasi ya kushiriki Kimataifa hii ni baada ya TFF kubadili kanuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani we Uoga wako nn?Simba wamepeleka kikosi kamili huku Yanga wakipeleka wachezaji wachache tu wa kikosi cha kwanza. Najiuliza tu, ikitokea Simba na Yanga zikakutana aidha nusu fainali au fainali yenyewe, nini kitatokea!!??!
Ikumbukwe, kwa historia ya timu hizi, ni bora sn simba kufungwa na mashujaa na sio Yanga
Karibuni
Kanuni gani imebadilishwaIkitokea tumekutana na Mikia iwe nusu au fainali tutawaachia Mikia watufunge ili msimu ujao wapate nafasi ya kushiriki Kimataifa hii ni baada ya TFF kubadili kanuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuuuuuuih!!!!Ikitokea tumekutana na Mikia iwe nusu au fainali tutawaachia Mikia watufunge ili msimu ujao wapate nafasi ya kushiriki Kimataifa hii ni baada ya TFF kubadili kanuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na zikikutanaga huwa ni bure kabisaKwani we unadhani simba inatofauti gani na timu nyingine? Angalia ya nashujaa, green worries na ndanda , angalia kwenye mashindano ya FA wako wapi? Kwenye msimamo wa ligi kuu je? Simba ni timu ya mihemko tu wala hawana maajabu yyte
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mbutembute fcmaana yake ni kuwa tff watabadili kanuni kwa kuwa viongozi wengi hapo tff ni mikia
Kuwa mashabiki wa simba sio sababu ya kuharibu mambo. Ongea kisomi basimaana yake ni kuwa tff watabadili kanuni kwa kuwa viongozi wengi hapo tff ni mikia
Kuwa mashabiki wa simba sio sababu ya kuharibu mambo. Ongea kisomi basi
Hapana bhana. Hizi timh sijui kwanini!! Pamoja na kikos kile walichopeleka Yanga, ikitokea wakakutana utashangaa SAREUnauliza maembe kibada? Hapo wakulia c anajulikana kabisa vyura fc
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unamaanisha Yanga watabadilisha gia angani na kukileta kikosi kamili badala ya hiki kilichopo Zanzibar ambapo ni kikosi 'B'wazee wa kazi watavuka maji...kanuni za mapinduzi cup zitavunjwa..tuone Boban vs Kotei,Chama vs Tshishimbi na Fei vs Mkude ..vita ya tatu ya dunia
Humjui chama wewe uyo bishoo wa kikongo atameza panadol.wazee wa kazi watavuka maji...kanuni za mapinduzi cup zitavunjwa..tuone Boban vs Kotei,Chama vs Tshishimbi na Fei vs Mkude ..vita ya tatu ya dunia