Ikitokea Mapinduzi Cup Simba na Yanga zikakutana

Kizibo255

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
515
Reaction score
376
Simba wamepeleka kikosi kamili huku Yanga wakipeleka wachezaji wachache tu wa kikosi cha kwanza. Najiuliza tu, ikitokea Simba na Yanga zikakutana aidha nusu fainali au fainali yenyewe, nini kitatokea!!??!
Ikumbukwe, kwa historia ya timu hizi, ni bora sn simba kufungwa na mashujaa na sio Yanga
Karibuni
 
Kwani we Uoga wako nn?
 
wazee wa kazi watavuka maji...kanuni za mapinduzi cup zitavunjwa..tuone Boban vs Kotei,Chama vs Tshishimbi na Fei vs Mkude ..vita ya tatu ya dunia
 
Kwahiyo unamaanisha Yanga watabadilisha gia angani na kukileta kikosi kamili badala ya hiki kilichopo Zanzibar ambapo ni kikosi 'B'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wazee wa kazi watavuka maji...kanuni za mapinduzi cup zitavunjwa..tuone Boban vs Kotei,Chama vs Tshishimbi na Fei vs Mkude ..vita ya tatu ya dunia
Humjui chama wewe uyo bishoo wa kikongo atameza panadol.

Shughuli ya mkude huyo mtoto wa kizenji atalala na viatu au hujawai sikia hii.

Shughuli ipo kwa yoyote atakayekabana na H.M.Boban.. Ajiandae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom