Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Kanuni ya Kadi tatu za njano Mchezaji kuchagua mechi ya kucheza unaifahamu?Kuwa mashabiki wa simba sio sababu ya kuharibu mambo. Ongea kisomi basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanuni ya Kadi tatu za njano Mchezaji kuchagua mechi ya kucheza unaifahamu?Kuwa mashabiki wa simba sio sababu ya kuharibu mambo. Ongea kisomi basi
Wamerun awayUnauliza maembe kibada? Hapo wakulia c anajulikana kabisa vyura fc
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawatokutana sababu Yanga ashatolewa.Simba wamepeleka kikosi kamili huku Yanga wakipeleka wachezaji wachache tu wa kikosi cha kwanza. Najiuliza tu, ikitokea Simba na Yanga zikakutana aidha nusu fainali au fainali yenyewe, nini kitatokea!!??!
Ikumbukwe, kwa historia ya timu hizi, ni bora sn simba kufungwa na mashujaa na sio Yanga
Karibuni
Watu wa Yanga kazi yenu kulialia tu. Fikrieni kipindi ligi inaanza ilikua imepagiwa mechi nne nje ya dar,TFF wakafanya kila njia mechi ya Yanga na mtibwa ichezwe dar na Yanga kua mwenyeji, baada ya hapo Yanga ikacheza mechi 11 dar, lakini bdo mnasema TFF imejaa wa simba. Ikaja mechi ya JKT, mlitakiwa mchezee Tanga TFF wakatengeneza mazingira ikachezwa Dar yote ni kwa ajili ya kuibeba Yanga, lakini bdo mnalia lia kua TFF ni wa simba. Hiyo haitoshi bado TFF hao hao wanaikopesha Yanga fedha bado mnawalaumu .maana yake ni kuwa tff watabadili kanuni kwa kuwa viongozi wengi hapo tff ni mikia