PreGE2025 Ikitokea Mchungaji Gwajima akajiunga CHAUMMA, upepo wa siasa utabadilika nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Joined
Sep 9, 2024
Posts
73
Reaction score
388
Nawaza tu, kwa akili mnato za wabongo ikatokea askofu wa makanisa ya ufufuo na uzima akajiunga chauma na kugombea uraisi moja kwa moja na hapo ndio mtagundua jinsi elites wanavyo chezea system ya nchi hii..

Na hapo ndio upepo wa kisiasa utahamia chauma na akili za watanzania zitachezeshwa na macho yao yatakua CHAUMMA na Gwajima.. pigo la mwisho itakua kwa bwana yule kuvua gwanda na kuvaa uzi wa njano na nyeupe na nyekundu.

NAWAZA NANMA CCM WANAVYO ICHEZA HII SIDIMBA NA KUDRIVE EMOTIONS ZA WATANZANIA KUZANI GWAJIMA NDIO MKOMBOZI. MARA PAAP ANATUA KWA MZEE WA UBWABWA NA KUGOMBEA URAISI DIRECTLY... TIME WILL TELL
 
Mbona ameshawaambia watu wake wa karibu anaingia chademaa
 
Nawaza tu, kwa akili mnato za wabongo ,ikatokea askofu wa makanisa ya ufufuo na uzima akajiunga chauma na kugombea uraisi moja kwa moja. na hapo ndio mtagundua jinsi elites wanavyo chezea system ya nchi hii..

na hapo ndio upepo wa kisiasa utahamia chauma na akili za watanzania zitachezeshwa na macho yao yatakua chaUMA NA gwajima.. pigo la mwisho itakua kwa bwana yule kuvua gwanda na kuvaa uzi wa njano na nyeupe na nyekundu.

NAWAZA NANMA CCM WANAVYO ICHEZA HII SIDIMBA NA KUDRIVE EMOTIONS ZA WATANZANIA KUZANI GWAJIMA NDIO MKOMBOZI. MARA PAAP ANATUA KWA MZEE WA UBWABWA NA KUGOMBEA URAISI DIRECTLY... TIME WILL TELL
Kwahiyo unataka kusema kuwa,ccm walipanga kuleta Taharuki Kwa kuteka watu hovyo na kumtoa kafara Gwajima? Sasa mwambieni huyo Gwajima asikimbie askari hii ni movie tu inachezwa halafu tuone huko mbele kutatokea nini.
 
Nawaza tu, kwa akili mnato za wabongo ikatokea askofu wa makanisa ya ufufuo na uzima akajiunga chauma na kugombea uraisi moja kwa moja na hapo ndio mtagundua jinsi elites wanavyo chezea system ya nchi hii..

Na hapo ndio upepo wa kisiasa utahamia chauma na akili za watanzania zitachezeshwa na macho yao yatakua CHAUMMA na Gwajima.. pigo la mwisho itakua kwa bwana yule kuvua gwanda na kuvaa uzi wa njano na nyeupe na nyekundu.

NAWAZA NANMA CCM WANAVYO ICHEZA HII SIDIMBA NA KUDRIVE EMOTIONS ZA WATANZANIA KUZANI GWAJIMA NDIO MKOMBOZI. MARA PAAP ANATUA KWA MZEE WA UBWABWA NA KUGOMBEA URAISI DIRECTLY... TIME WILL TELL
Yaani aruke mkojo akakanyage uharo? Chaummwa ni project ya Samia kuidhoofisha Chadema.
 
Jana kwenye Mkutano wao CHAUMMA ni kama wanaunga mkono utekaji. Maana walidai watu wawili kupotea ni jambo la kawaida.
 
Hawezi kujiunga CHAUMMA Maana anajua ni tawi la mboga mboga
 
Hawezi kujiunga CHAUMMA Maana anajua ni tawi la mboga mboga
Nawaza tu, kwa akili mnato za wabongo ikatokea askofu wa makanisa ya ufufuo na uzima akajiunga chauma na kugombea uraisi moja kwa moja na hapo ndio mtagundua jinsi elites wanavyo chezea system ya nchi hii..

Na hapo ndio upepo wa kisiasa utahamia chauma na akili za watanzania zitachezeshwa na macho yao yatakua CHAUMMA na Gwajima.. pigo la mwisho itakua kwa bwana yule kuvua gwanda na kuvaa uzi wa njano na nyeupe na nyekundu.

NAWAZA NANMA CCM WANAVYO ICHEZA HII SIDIMBA NA KUDRIVE EMOTIONS ZA WATANZANIA KUZANI GWAJIMA NDIO MKOMBOZI. MARA PAAP ANATUA KWA MZEE WA UBWABWA NA KUGOMBEA URAISI DIRECTLY... TIME WILL TELL
Hawezi kujiunga chama cha ovyo kiasi hicho.

Mnaambiwa kanda inayoamua uchaguzi ni kanda ya ziwa mnajifanya kichwa ngumu.
 
Back
Top Bottom