Ikitokea mkanusurika kifo mtasimama kwa ajenda gani kupambana na Ccm?

Ikitokea mkanusurika kifo mtasimama kwa ajenda gani kupambana na Ccm?

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
8,746
Reaction score
5,772
Nauliza hili swali kwa wale wamiliki wa chama ambacho kimejaa husuda dhidi ya taifa letu.
Maana hapo awali walikuwa wakisema tunahitaji tupate rais ambae ni mzalendo na mchapa kazi.
Sasa Mungu amesaidia JPM amepatikana na kwa uzalendo na ushujaa amedhibiti rushwa na ubadhirifu.
Kwa uzalendo na ushujaa amerudisha nidhamu kwa watumishi wa umma. Maana kuna watu walikuwa wanalipwa mishahara hata bila kuifanyia kazi.
Kwa muda mfupi amefanya mambo makubwa sana ujenzi wa Sgr,JNHPP, vituo vya afya na hospital lukuki pamoja kuimalisha miundo mbinu na usafiri wa anga,barabarani na majini.
Sasa nyie wanafiki wa Chadema kama ikitokea mkanusurika kufa kifo cha mende. Mtasimama na ajenda gani ya kuisakama Ccm.
Mfano kwa kanda ya ziwa mtaongea nini? Maana New Mv Victoria hapa kazi na Mv Butiama tayari zimeshakipatia Ccm credit kubwa.
Bora mjiongeze kama wenzenu muache hata kuweka mgombea wa urais maana mtapoteza muda na fedha. Labda mjaribu udiwani tu maana hata ubunge itakuwa ni ngumu.
 
Chadema wamekubali yaishe Mkuu

Nadhani Mungu anawaadhibu kwa kumpinga Rais Magufuli

Hivi unaanzanje kumpinga Rais Magufuli, haya mambo anayoifanyia Tanzania haijawahi kutokea kila kona ya Nchi ni maendeleo
 
Cdm hawana ajenda ya kupampana na JPM hapo oktoba Hilo lipo wazi! Miaka mitano hiii toka 2015 ni siasa za kiharakat tu ,kupinga pinga kila kitu na kudandia matukio. Hawana ajenda za msingi ,kwenye nafasi ya Urais wakubali tu yaishe wapambane kwenye majimbo huko! na sijui kama watapata hata wabunge kumi!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom