Ikitokea rais akaongoza kipindi kimoja atakayekuja atakuwa wa awamu ya ngapi?

Ikitokea rais akaongoza kipindi kimoja atakayekuja atakuwa wa awamu ya ngapi?

Mfano ni USA wa sasa ni mtu wa 44 kuwa Rais lakini Trump anaitwa wa 45 kwasababu kuna aliyetawala miaka 12
 
Hapo wanaangaliaa ni rais tu. Akija mtu mpya awamu inabadilika ni kama marekani saa hz kuna rais awamu ya 45 sisi. Akija mwngne 2020 atakuwa rais awamu ya 6 ,,ila mheshimiwa akibakia itakuwa ni awamu ya 5 kama kawa
 
Naomba mwenye ufahamu ama jibu MFANO ikitokea katika Uchaguzi ujao wa 2020 Rais aliyepo kama anavyofahamika ni wa awamu ya 5 akashindwa uchaguzi je atayechukua madaraka atafaa kuitwa Rais wa awamu ya 6 ama atakuwa ni Rais wa 6 ila awamu ya 5?

Kwani wa awamu ya kwanza aliongoza miaka mingapi?
 
Hapo wanaangaliaa ni rais tu. Akija mtu mpya awamu inabadilika ni kama marekani saa hz kuna rais awamu ya 45 sisi. Akija mwngne 2020 atakuwa rais awamu ya 6 ,,ila mheshimiwa akibakia itakuwa ni awamu ya 5 kama kawa
Mbona Trump wa 44 anaitwa wa 45
 
Awamu inaongezeka kama kawaida no matter ni wa kipindi kimoja ama viwili
 
Kama utashindwa ku-argue na kuhoji kwa kisingizio hicho basi hamna umuhimu wa kuwa na kichwa chenye ubongo mwingi na kumiliki jibu moja tu la 'UCHOCHEZI'
Mkuu, si umesikia lakini wakati huu hii nyimbo ya huyu msanii nanisijui nimemsahau jina lake, lakini jina la wimbo ''UCHOCHEZI'', hiyo nyimbo inaimbwa sana kwenye radio station nyingi, na vituo vya Polishii, nikilijua jina la msanii nitakutajia, ngoja ni google TCRA hizo sheria zao mpya, labda naweza pata jina la msanii.
 
Naona kama bado hujafafanua kiuwazi mkuu, kama awamu inatenganishwa kwa kipindi cha miaka mitano inakuaje walioongoza miaka 10 still tuliitambua kama ni awamu moja badala ya mbili?
Inaitwa awamu moja kwa sababu Rais ni yuleyule aliongoza Vipindi vyote viwili!.
 
Back
Top Bottom