Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,510
- 4,431
2025 ni mbali sana kuona kwa undani yatakayotokea lakini kwenye siasa ni muda mfupi sana.
Katika timu ya ushindi ya Chama fulani ameingia straika hatari sana wa kufunga mbali na karibu. Mchezo unaanza kunoga kweli kweli.
Ebu tutoke nje ya box kwa kumtazama mama panapo 2025 akaamua apumzike kwa hiari ilhali sio rahisi kutokea lakini linaweza kutokea,je hali itakuwaje kwa CCM ?
Ni mawazo ya kijinga tu yameniambia niseme hivi lakini yana logical sense.
Uzuri wa huyu Straika mpya anaweza pia kuwa kocha mzuri sana na hata ikitokea kocha wa sasa akaamua apumzike kazi ya kuongoza timu haitasimama.