Ikitokea Rais Samia akasema 2025 anapumzika, kitu kizito kitatua kwa baadhi ya watu

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2021
Posts
1,510
Reaction score
4,431
2025 ni mbali sana kuona kwa undani yatakayotokea lakini kwenye siasa ni muda mfupi sana.

Katika timu ya ushindi ya Chama fulani ameingia straika hatari sana wa kufunga mbali na karibu. Mchezo unaanza kunoga kweli kweli.

Ebu tutoke nje ya box kwa kumtazama mama panapo 2025 akaamua apumzike kwa hiari ilhali sio rahisi kutokea lakini linaweza kutokea,je hali itakuwaje kwa CCM ?

Ni mawazo ya kijinga tu yameniambia niseme hivi lakini yana logical sense.

Uzuri wa huyu Straika mpya anaweza pia kuwa kocha mzuri sana na hata ikitokea kocha wa sasa akaamua apumzike kazi ya kuongoza timu haitasimama.
 
Kila awamu wanapataga pigo nene hata mwendazakwe
 
Ingekuwa wakati ule akiwa VP sawa ila siyo kwa kiti hicho plus katiba hii.
 
Kwahiyo ni hadi aseme yeye kupumzika? Enewei, alishasema huko nyuma.
 


Hatuongei ndoto hapa jamii😂😅
 
Straika wa Pembe za Ndovu alidondoshewa kitu kizito enzi za Kayafa na Straika mwenzake😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Kama Kinana ni straika, mikutano ya hadhara iruhusiwe uone mziki mnene wa chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…