Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 2,799
- 1,809
Mtampeleka mahakama ya wapi wakati mtakuwa mmeshasota mkawa kama mashetani huko nchini kwenu. Uzuri Africa hakunaga hayo mambo kabisaNa pili anapelekwa mahakamani. Hatuwezi kumuwacha hivihivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtampeleka mahakama ya wapi wakati mtakuwa mmeshasota mkawa kama mashetani huko nchini kwenu. Uzuri Africa hakunaga hayo mambo kabisaNa pili anapelekwa mahakamani. Hatuwezi kumuwacha hivihivi
Kwani wewe unaizungumzia nchi gani ?Chombo gani kitakachofanya hayo?.
Jamaa hawezi kukujibu. Amegongwa ban.Kwani wewe unaizungumzia nchi gani ?
He! Kumbe ban bado zipo ? Basi ngoja nivae Mask .Jamaa hawezi kukujibu. Amegongwa ban.
Tena watu kama nyinyi ban zinawafaa sana. Mnaniudhi mnavyomtetea huyo Lowasa wenu kila kukicha.He! Kumbe ban bado zipo ? Basi ngoja nivae Mask .
Hii ya Rwanda hauko mbali na ukweli ila ni shida kusema bunge laweza kumuondoa Rais madarakani kwa sababu wabunge wote wa chama tawala wanaiwakilisha serikali badala ya kuwakilisha wanainchiZambia yasemekana Kaunda hakuwa Mzambia....
Kuna Nchi moja nayo raisi wake wa kwanza yesemekana alikuwa ni Tutsi amepigania uhuru wa Mataifa mengi Africa almaarufu sana kwa kuchonga Meno.. Pia Kuna Nchi moja hivi Africa raisi wake alikuwa kipande cha mtu yasemekana ni chinga kutoka Msumbiji...
Hitler Wa Ujerumani alikuwa ni Kutoka Austria
Obama - Yahudi,Kenyan
Karume Kenge - Malawi
Papa Fransis - Anaongoza nchi iitwayo Vatican huku yeye akiwa ni raia wa Argentina
Same Na Pope Benedict alikuwa raia wa Germany
Huyu wa sasa mtu akiniambia ni From Rwanda sikatai hata kidogo..
Nakumbuka Mtikila alishawahi kusema Tanzania haijawahi kuwa na Raisi Mtanzania
Au ndio maana kwenye utawala wake wajerumani walilimia meno ?Adolph hitler hakua raia wa ujeruman bali alihamia tuu na kupeewa uraia.
Ni mzaliwa wa austria
Sasa unauliza nchi ni nini au mipaka nini kuonesha kuwa hayo kwako sio muhimu lakini hapo hapo unajinasibisha na uafrika, Afrika ni Bara na lina mipaka yake. Ungesema wewe unajiona ni MduniaKwani Nchi ni nini? Mipaka au nini? Binafsi nikijiona najiona Mwafrika ninae fanana na Mwafrika yoyote wa Afrika.
Kila kitu kina usahihi kwa wakati wake, na wakati sahihi anaepanga ni Mungu tu. Shukuru kwa yote maana hujui nini kusudio kwa kilicho pangwa na Mpangiliaji wa kweli. Only God.
Ni nchi gani duniani imewahi kuchagua Rais ambaye baadaye akajulikana si RAIA wa nchi hiyo?
Na imani Tume za Uchaguzi moja ya maeneo ambayo wako makini sana ni uthibitisho wa uraia wa mgombea.
OkZambia na kilichomtokea mnakijua