Wana sifa tofautiIkitokea tukapewa nafasi Nyingine, Prof . Janabi anafaa kuwa Mbadala katika nafasi ya Faustine Ndungulile DG-WHO-africa
Tanzania bado tuna akiba ya watu muhimu na wenye taaluma zao wanaojua nini kifanyike wakati gani na muda gani na kwa sababu gani hasa linapokuja katika taaluma ya Afya.
Nafasi aliyokuwa nayo Mpendwa wetu Ndg. Faustine Ndungulile (R.I.P)
Anaweza isimamia vyema Prof . Janabi
Apendekezwe akasimame Katia kinyangalilo hicho .
View attachment 3167379
Akaifundishe diet ya maji na karanga afrikaIkitokea tukapewa nafasi Nyingine, Prof . Janabi anafaa kuwa Mbadala katika nafasi ya Faustine Ndungulile DG-WHO-africa
Tanzania bado tuna akiba ya watu muhimu na wenye taaluma zao wanaojua nini kifanyike wakati gani na muda gani na kwa sababu gani hasa linapokuja katika taaluma ya Afya.
Nafasi aliyokuwa nayo Mpendwa wetu Ndg. Faustine Ndungulile (R.I.P)
Anaweza isimamia vyema Prof . Janabi
Apendekezwe akasimame Katia kinyangalilo hicho .
View attachment 3167379
Hafai hata kidogo huyu, hata kidogo hafai...hata mahali alipo hapamfai kabisa...Ikitokea tukapewa nafasi Nyingine, Prof . Janabi anafaa kuwa Mbadala katika nafasi ya Faustine Ndungulile DG-WHO-africa
Tanzania bado tuna akiba ya watu muhimu na wenye taaluma zao wanaojua nini kifanyike wakati gani na muda gani na kwa sababu gani hasa linapokuja katika taaluma ya Afya.
Nafasi aliyokuwa nayo Mpendwa wetu Ndg. Faustine Ndungulile (R.I.P)
Anaweza isimamia vyema Prof . Janabi
Apendekezwe akasimame Katia kinyangalilo hicho .
View attachment 3167379
Kwamba nafasi aliyonayo haimtoshi? Wewe ni mkwewe?Ikitokea tukapewa nafasi Nyingine, Prof . Janabi anafaa kuwa Mbadala katika nafasi ya Faustine Ndungulile DG-WHO-africa
Tanzania bado tuna akiba ya watu muhimu na wenye taaluma zao wanaojua nini kifanyike wakati gani na muda gani na kwa sababu gani hasa linapokuja katika taaluma ya Afya.
Nafasi aliyokuwa nayo Mpendwa wetu Ndg. Faustine Ndungulile (R.I.P)
Anaweza isimamia vyema Prof . Janabi
Apendekezwe akasimame Katia kinyangalilo hicho .
View attachment 3167379
Sio nafasi ya kurithi hiyoUmahiri wa kitaaluma, uzoefu wa kazi na uongozi unafanya Professor Janabi kuwa Mtanzania pekee mwenye kufaa kumrithi Dr Faustine Ndugulile (RIP) huko WHO Regional Office - Brazzaville. Asanteni
Apite bila kupingwaHuyu ni sahihi sina tatizo naye
Subiri uone ma dr watakavyopigana figisu....na uchawi juu hahahaUmahiri wa kitaaluma, uzoefu wa kazi na uongozi unafanya Professor Janabi kuwa Mtanzania pekee mwenye kufaa kumrithi Dr Faustine Ndugulile (RIP) huko WHO Regional Office - Brazzaville. Asanteni