Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Weledi, yas anafaa na anaonekana ana uchungu na afya za wananchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He....😳Umahiri wa kitaaluma, uzoefu wa kazi na uongozi unafanya Professor Janabi kuwa Mtanzania pekee mwenye kufaa kumrithi Dr Faustine Ndugulile (RIP) huko WHO Regional Office - Brazzaville. Asanteni
Hapo siyo CCM mzee, lazima ushindanishweApite bila kupingwa
HUO UJINGA MKAE NAE HUKO HUKO. MSIDHANI WOTE NI VILAZA.Ikitokea tukapewa nafasi Nyingine, Prof . Janabi anafaa kuwa Mbadala katika nafasi ya Faustine Ndungulile DG-WHO-africa
Tanzania bado tuna akiba ya watu muhimu na wenye taaluma zao wanaojua nini kifanyike wakati gani na muda gani na kwa sababu gani hasa linapokuja katika taaluma ya Afya.
Nafasi aliyokuwa nayo Mpendwa wetu Ndg. Faustine Ndungulile (R.I.P)
Anaweza isimamia vyema Prof. Janabi
Apendekezwe akasimame Katia kinyangalilo hicho .
View attachment 3167379
Arrogance kukupa ushauri na elimu juu ya afya yako!?Shida naonaga Janabi km aba arrogance
Vipaumbele vya Taifa…kukemea rushwa,kutimiaza ilani ya chama ili kuleta maendeleo nchini….kupunguza vifo vya mama na watoto,utawala wa sheria….vingi mno vyenye tija na taifa kuliko hzo drama zenu za WHOKwani kwako ni kt gani gani kina tija?
Uchungu upi!?? Kaka utapewa Diet ya Maji na karanga ili usipanue mishipa ya MoyoWeledi, yas anafaa na anaonekana ana uchungu na afya za wananchi
WHO siyo hospitali jamani.Ikitokea tukapewa nafasi Nyingine, Prof . Janabi anafaa kuwa Mbadala katika nafasi ya Faustine Ndungulile DG-WHO-africa
Tanzania bado tuna akiba ya watu muhimu na wenye taaluma zao wanaojua nini kifanyike wakati gani na muda gani na kwa sababu gani hasa linapokuja katika taaluma ya Afya.
Nafasi aliyokuwa nayo Mpendwa wetu Ndg. Faustine Ndungulile (R.I.P)
Anaweza isimamia vyema Prof. Janabi
Apendekezwe akasimame Katia kinyangalilo hicho .
View attachment 3167379
Faida ya mwanchi kuajiriwa katika taasisi za kimataifa huzijui?Hivi hyo nafas ina tija gan kwa hili Taifa?!! Naombeni kueleweshwa..
Vicheko fcIkitokea tukapewa nafasi Nyingine, Prof . Janabi anafaa kuwa Mbadala katika nafasi ya Faustine Ndungulile DG-WHO-africa