Ikitokea uchague mtu ambaye siku UKIFA nae AFE.. Na Kwa nini?

marigy

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Posts
341
Reaction score
402
Nimekaa, nikaanza kujiuliza siku ya kufa hivi inakuwaje? Sasa Mimi binafsi nafikiriaga Sana ambao ntawaacha hapa duniani.. Hivyo na wivu fualni hunijia kwamba Da..! Ntawaacha washikaji, ndugu, jamaa na marafiki.. Na Licha ya kwamba watasikitika lakin lazima wataendeelea kula bata na kusahau kabisa yani, hapo naumiaga Sana alafu siku hizi ukihudhuria mazishi utaona jinsi watu wanavyochukulia poa tofauti na zamani... Mwisho nikapata wazo la kushare hapa jamvini.. Iv ukiambiwa umchague mtu mmoja ambaye siku ukifa nae afe siku hiyo hiyo.., ungenchagua Nani na kwa nini?
 
Ukifa ni piece kinoma yaani,bata la hatari.So we kufanya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…