Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
wadogo zetu hao twende nao taratibu hii teknolojia imewajia vibaya.Sio nawasema, nataka baadhi yenu muache uzandiki.
Sio kila jambo unalofanya na mpenzi wako chumbani basi unakuja humu kuomba ushauri.
Wanaume wenyewe wa humu almost wote no U-18, watashauri nini cha maana?
Yaani Daby....kiukweli wanaume wengine sio.
Ndio maana Pm za wengine zimefungwa kwa ufirauni kama huu.
CC Evelyn Salt
Hv unategemea mwanaume anayeponda wanawake jukwaani akija Pm nitamjibu?
Nitampotezea.
Mijanaume mingine ni mi-mamluki tu kwa roho za wanawake.
Huko kweli kutangaza ya chumbani na mkewe walai wanaua band kama sio ngoma