HONEST HATIBU
Member
- Aug 19, 2020
- 63
- 153
Ikitokea siku hapo ulipoajiriwa ukikosa kazi, Je una sehemu yoyote au mbinu yoyote ya haraka haraka unaweza tumia kuingiza pesa kwaajili ya mahitaji yako muhimu na ya msingi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yafanye haya sasa.1. Nakata matumizi yote yasio ya lazima, ntaangalia food and shelter , kama nimepabga sehemu ya gharama nitahama niende sehemu bei ndogo.
2. Nitawajuza ninaowafahamu kua now sina kazi kama wanaweza nipa connection
3. Nitaangalia kama naweza kujiajiri mwenyewe, let say ni lawyer, je naweza kufanya kazi kama wakili wa kujitegemea?
4. Nitajifunza kitu alternative cha kuingiza kipato, nisiwe nategemea kitu kimoja
Ila mi sijaajiliwa.
Kwanini haya yote usiyafanye sasa mpaka usubiri kufukuzwa kazi1. Nakata matumizi yote yasio ya lazima, ntaangalia food and shelter , kama nimepabga sehemu ya gharama nitahama niende sehemu bei ndogo.
2. Nitawajuza ninaowafahamu kua now sina kazi kama wanaweza nipa connection
3. Nitaangalia kama naweza kujiajiri mwenyewe, let say ni lawyer, je naweza kufanya kazi kama wakili wa kujitegemea?
4. Nitajifunza kitu alternative cha kuingiza kipato, nisiwe nategemea kitu kimoja
Ila mi sijaajiliwa.
Ukuwezakuiba kazini uraian unakufaaaaIkitokea siku hapo ulipoajiriwa ukikosa kazi, Je una sehemu yoyote au mbinu yoyote ya haraka haraka unaweza tumia kuingiza pesa kwaajili ya mahitaji yako muhimu na ya msingi?
Salali slip ni kitu gani?tusio na salali slip tunakoment wap
Nafukuzwaje kazi ikiwa sijaajiriwa na mtu?Kwanini haya yote usiyafanye sasa mpaka usubiri kufukuzwa kazi