Ikitokea umefukuzwa kazi sasa, una mbinu mbadala ya kujiingizia kipato?

Ungeuliza na kupandishwa cheo na si kufukuzwa tuu,ungelibalansi Mambo###HapoVipiHapoo###
 
1. Nakata matumizi yote yasio ya lazima, ntaangalia food and shelter , kama nimepabga sehemu ya gharama nitahama niende sehemu bei ndogo.

2. Nitawajuza ninaowafahamu kua now sina kazi kama wanaweza nipa connection

3. Nitaangalia kama naweza kujiajiri mwenyewe, let say ni lawyer, je naweza kufanya kazi kama wakili wa kujitegemea?

4. Nitajifunza kitu alternative cha kuingiza kipato, nisiwe nategemea kitu kimoja

Ila mi sijaajiliwa.
 
Yafanye haya sasa.

#YNWA
 
Kwanini haya yote usiyafanye sasa mpaka usubiri kufukuzwa kazi
 
Ikitokea siku hapo ulipoajiriwa ukikosa kazi, Je una sehemu yoyote au mbinu yoyote ya haraka haraka unaweza tumia kuingiza pesa kwaajili ya mahitaji yako muhimu na ya msingi?
Ukuwezakuiba kazini uraian unakufaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…