Ikitokea umepata dharura ya ghafla inaitajika milion moja kwa contact zako za simu utapigia watu wangapi.??

Ikitokea umepata dharura ya ghafla inaitajika milion moja kwa contact zako za simu utapigia watu wangapi.??

Ultimate

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
739
Reaction score
1,888
Leo mchana kwenye safari zangu hapa mjini nilifika sehumu kilukua kuna kitu nataka kununua price ilikua 1.8m balance yangu ya ilikua laki 9 na 86 nikaona isiwe tabu nikaanza kuangalia majina ya nani wa anaweza kunikopesha 1m ya haraka

nilipiga sim 7 na baada ya kama 20-25 nikapokea mkopo huyu ni rafiki yangu tunapiga kazi pamoja

sasa ukiachana na mchango labda huyu laki 2 yule laki tatu utapiga sim ngapi kupata milion moja kwenye majina yaliyopo kwenye sim yako????
 
Hakuna.
 
Nakumbuka kipindi nipo chuo,mkurugenzi wa idara yetu akasema" unakuta mtu kwenye simu yake ana majina230 harafu hata akiwa na shida ya 56600 hupati,sasa yakazi gani kuwa na namba kwenye simu kama hawana msaada wowote"
 
Bibi yangu, mungu ampe uhai mrefu, she's 75yrs lakin ukiwa na shida wa kukupa yeye, anakamsemo kake "Mimi mkubwa na Nina familia kubwa natakiwa niwe na akiba ili mkipata tatizo msiadhirike"

Kimbembe uzidishe ule muda uliomuahidi kurudisha na usirudishe utaona dunia chungu na wakati wakulipa lipa bank mpelekee pay slip, la sivyo ukajisahau ukampa mkononi anasema hii ya kula Deni langu Bado

Allah ampe uhai mrefu bibi yangu
 
Back
Top Bottom