Ikitokea umepata dharura ya ghafla inaitajika milion moja kwa contact zako za simu utapigia watu wangapi.??

Ikitokea umepata dharura ya ghafla inaitajika milion moja kwa contact zako za simu utapigia watu wangapi.??

Kuna jamaa mmoja enzi hizo tunaanza maisha,yeye alitutangulia kiumri alikuwa anapenda kusema 'wadogo zangu,rafiki zako wakubwa ni banker wako na kazi'
Imenyooka vilivyo, maana unaweza ukawa na contacts worth hata za milion kumi kwa saa, na usiambulie hata elfu kumi kwa wiki, tarajia yasiyotarajiwa hata kama n mtoaji vp na maden yako hujalipwa😀😀😀
 
Kibubu changu.
Kila siku napigana kuweka elfu 10.au elfu 20.
 
Mimi mwenyewe hainipig change kuhusu contact Sina hao watu nimedelete nimebakia na majina kumi na moja sio wa kuomba msaada nop wajue tu nilipo na kunipa information
 
Sina hata mmoja kati ya majina 200+, hili nalifanyia kazi ili mdhamini mkuu awe ni mimi na familia yangu not friends. Na katika maisha yangu sitokaa niwe na rafiki wa karibu kiasi hiko tofauti na mke wangu na watoto wangu na familia yangu
 
Leo mchana kwenye safari zangu hapa mjini nilifika sehumu kilukua kuna kitu nataka kununua price ilikua 1.8m balance yangu ya ilikua laki 9 na 86 nikaona isiwe tabu nikaanza kuangalia majina ya nani wa anaweza kunikopesha 1m ya haraka

nilipiga sim 7 na baada ya kama 20-25 nikapokea mkopo huyu ni rafiki yangu tunapiga kazi pamoja

sasa ukiachana na mchango labda huyu laki 2 yule laki tatu utapiga sim ngapi kupata milion moja kwenye majina yaliyopo kwenye sim yako????
HAKUNA...

Wengi WAAJIRIWA kila siku WANALIA NJAA TU ""Mshahara hautoshi Mr. Liverpool""

Sijui kwanini HAWAACHI kazi kama MSHAHARA HAUTOSHI....
 
Back
Top Bottom