Hakuna.Leo mchana kwenye safari zangu hapa mjini nilifika sehumu kilukua kuna kitu nataka kununua price ilikua 1.8m balance yangu ya ilikua laki 9 na 86 nikaona isiwe tabu nikaanza kuangalia majina ya nani wa anaweza kunikopesha 1m ya haraka
nilipiga sim 7 na baada ya kama 20-25 nikapokea mkopo huyu ni rafiki yangu tunapiga kazi pamoja
sasa ukiachana na mchango labda huyu laki 2 yule laki tatu utapiga sim ngapi kupata milion moja kwenye majina yaliyopo kwenye sim yako????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ntamaliza contacts zote alafu nakuja na huku jf naenda na twitter pia.
Akikujibu nitagdhu naweza piga hata sim 32 na nisipate. bytheway nini hicho unanunua kwa 1.8m??
Nikupe no yangu uiongeze kwenye contact list yako,ili usikwame hivi??Ntamaliza contacts zote alafu nakuja na huku jf naenda na twitter pia.
πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeeeeiiii, nafuuNikupe no yangu uiongeze kwenye contact list yako,ili usikwame hivi??
Contacts nyingi halafu hazina msaada. Anza kuzifutaSina uhakika kiukweli