Njoo twita myNtamaliza contacts zote alafu nakuja na huku jf naenda na twitter pia.
Imenyooka vilivyo, maana unaweza ukawa na contacts worth hata za milion kumi kwa saa, na usiambulie hata elfu kumi kwa wiki, tarajia yasiyotarajiwa hata kama n mtoaji vp na maden yako hujalipwaπππKuna jamaa mmoja enzi hizo tunaanza maisha,yeye alitutangulia kiumri alikuwa anapenda kusema 'wadogo zangu,rafiki zako wakubwa ni banker wako na kazi'
Chukua namba yangu,ukiwa na shida nipigie,sitoshindwa kuitatuaSina uhakika kiukweli
Haya nipeChukua namba yangu,ukiwa na shida nipigie,sitoshindwa kuitatua
HAKUNA...Leo mchana kwenye safari zangu hapa mjini nilifika sehumu kilukua kuna kitu nataka kununua price ilikua 1.8m balance yangu ya ilikua laki 9 na 86 nikaona isiwe tabu nikaanza kuangalia majina ya nani wa anaweza kunikopesha 1m ya haraka
nilipiga sim 7 na baada ya kama 20-25 nikapokea mkopo huyu ni rafiki yangu tunapiga kazi pamoja
sasa ukiachana na mchango labda huyu laki 2 yule laki tatu utapiga sim ngapi kupata milion moja kwenye majina yaliyopo kwenye sim yako????