Ikitokea umepata milioni 100, utaifanyia nini?

Hapo bajet yake itakuwa kama shilingi ngapi!!
 
Itapendeza kama utakua na ngosha pembeni akikupungia upepo na kubeba pochi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi iyo 100M nitaponda raha Yote kwanza 30M nachukua zangu Harrier mpyaaa afu inabak 70M nachukua appartment ya gorofa ya 9M kwa mwaka nalpia miaka miwili 18M afu 2M nachukua pamba kali na bak na 50M iyo n ya kula raha miaka miwili kwa mwez nakula 2M miaka miwili 48M kwisha inabak 2M nauza harrier 20M najumlsha inakua 22 hapo narud zangu kijijini nikaendelee kuteseka tayar nmefuta mkosi nmejipa raha
 
Daaah sa nazipata wapi mkuu huo mfano haupo nyie[emoji16][emoji16].
 
Mimi nitAnunua frem kariakoo hata iwe 50m nipate kafrem kwanza then 30m za mzgo 20 ntaangalia cha kufanya
 
ela si itakua imeisha mkuu maana hyo wine utakunywa ya m21 plus na hizo activities nyingine, manunuzi unaweza ukajikuta huna nauli ya daladala ukiamka kurudi mabwepande
 
ela si itakua imeisha mkuu maana hyo wine utakunywa ya m21 plus na hizo activities nyingine, manunuzi unaweza ukajikuta huna nauli ya daladala ukiamka kurudi mabwepande
Wine ya laki 5 itanifaa naona.
Hivyo vingine ni vidogo sana sio gharama kivile.
Nadhani nitateketeza kama 5m hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…