minzakunza
Senior Member
- Oct 15, 2015
- 182
- 412
Wewe ndiyo umemuelewa mleta hoja wengine wote wamepuyangaOk. Lkn swali ni je timu itaendelea na mashindano?
Huwezi cheza bila wachezaji.Ok. Lkn swali ni je timu itaendelea na mashindano?
Hili linaeleweka. Ila Fei kutokwenda mbele au kurudi nyuma akiwa ni mchezaji wa Yanga, kuna faida gani kwa Yanga?You're missing the point, at this point Yanga haina shida na Fei ila inafuata matakwa ya mkataba na kumkomoa which I rightly support...
Basi hiyo sheria inayoruhusu wachezaji kuvunja mikataba wakati ligi inaendelea ni ya kifala sanaHuwezi cheza bila wachezaji.
Hili linaeleweka. Ila Fei kutokwenda mbele au kurudi nyuma akiwa ni mchezaji wa Yanga, kuna faida gani kwa Yanga?
Bado hakuna club ilothibitika kuongea na Feisal kama ingekuwepo kesi isingekua hii iliyopoFatma Karume na mpira wapi na wapi.
Hata hao wanasheria wa Yanga nao wanaonekana ovyo...
Sasa wewe una ufahamu wa mambo haya. Embu wanayanga watusaidie, kwa nini wanaendelea kumlipa mshahara na hawajamuadhibu mchezaji ambaye amegoma kucheza?Fatma Karume na mpira wapi na wapi.
Hata hao wanasheria wa Yanga nao wanaonekana ovyo...
We ulisikia maneno waliyokuwa wakiongea au ndio unadakia tu hadithi za mtandaoniSasa wewe una ufahamu wa mambo haya. Embu wanayanga watusaidie, kwa nini wanaendelea kumlipa mshahara na hawajamuadhibu mchezaji ambaye amegoma kucheza...
Hayo sasa ni maamuzi yao ya ndani, lakini wakiamua kutomlipa ni sahihi kabisa.Sasa wewe una ufahamu wa mambo haya. Embu wanayanga watusaidie, kwa nini wanaendelea kumlipa mshahara na hawajamuadhibu mchezaji ambaye amegoma kucheza?
Halafu juzi juzi baada tu ya game, Hersi alizungumza na mchezaji wa TP Mazembe na kumwambia wangependa aje achezee Yanga.
Acha ndotoKama wachezaji wana haki ya kuvunja mikataba wakati wowote, kuna uwezekano wa kutokea kitu cha ajabu sana. Swali ni je pale Yanga ikitokea wachezaji zaidi ya 20 wamepata deals nzuri na wameamua kuvunja mikataba yao (kama alivyojaribu Feisal), timu itaendelea na kushiriki mashinano?
Mpira ni ajira, siyo biashara ya utumwa. Kama mkataba wa ajira una kipengele cha kuvunja mkataba mwajiriwa ruksa kuvunja ilimradi akidhi masharti ya vile vipengele vinavyomruhusu kuvunja. Hata wakivunja wachezaji wote kama wamefata masharti ya hicho kipengele ni sawa.Basi hiyo sheria inayoruhusu wachezaji kuvunja mikataba wakati ligi inaendelea ni ya kifala sana
Nia ya viongozi wa Yanga ni kuumiza pasipo faida? Au ni kiu yenu mashabiki kumuona akiumia sababu hawaitaji?Hakuna faida. Nani anayeumia?
Nia ya viongozi wa Yanga ni kuumiza pasipo faida? Au ni kiu yenu mashabiki kumuona akiumia sababu hawaitaji?
Na uvunjaji una taratibu zake, izi nguvu mgezitumia kumuimiza kufuata utaratibu mngekua mmemsaidia mno, tofauti ya hapo Hamna tofauti na wapotoshaji.Mpira ni ajira, siyo biashara ya utumwa. Kama mkataba wa ajira una kipengele cha kuvunja mkataba mwajiriwa ruksa kuvunja ilimradi akidhi masharti ya vile vipengele vinavyomruhusu kuvunja. Hata wakivunja wachezaji wote kama wamefata masharti ya hicho kipengele ni sawa.
Anayebaki ni yule anayesema atakaa benchi mpaka apotee. Kimtokacho mtu.Nia ya Yanga na TFF ni kufuata sheria na taratibu no more no less.
Nimeamini waafrika wengi tunatumia asilimia ndogo sana ya akiliAcha ndoto