Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Ndio hapo sasa unapojinyima uelewa kwa sababu ‘constructive dismissal’ ni kitu kingine kabisa; hakina uhusiano na mikataba ya wanamichezo. Hayo ni mambo ya ajira za makazini.Hiyo isome kwa faida yako mkuu.
Mimi hainisaidii.
Ukisoma hiyo pdf na kama unaelewa contract law aspects of consideration ni kitu kile kile ila hiyo pdf inaelezea namna mishahara ya wachezaji inavyolipwa.
Kutokutokea mazoezini au kugoma kucheza ni sababu inayoweza pelekea usilipwe mshahara.
Anyway kwakua umeamua kubaki na mtazamo na mimi wacha nibaki na wangu, ila dogo achomoki hapo bila ya kukaa chini na management kwanza kuangalia wanaenda mbele vipi ata kama wamruhusu kutoka, lakini kutokwenda mazoezini hakumfanyi kutokuwa mali ya Yanga ata wakiamua kutomlipa.