joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kwani nini definition ya mgogoro? Yaani timu kila mchezaji awe na boss wake halafu kusiwe na mgogoro na mgawanyiko labda may be wewe definition ya mgogoro ina apply kwa Yanga tu. Sasa alazimishe mifano, wakati gali halisi kabla ya kuja MO ilikuwa inafahamika, kwani kabla ya kuja Mo timub yako ilikuwa chini ya akina nani?Naijua historia ya timu zote mbili vizuri tu, usilazimishe kwamba sijui hiki wala kile.
Unachokiongelea hakifanani na migogoro mliyowahi kuwa nao nyie ambayo inajibu swali la mleta mada. Mkibanwa mna tabia ya kuleta na kulazimisha mifano ambayo wala hailingani na kinachoongelewa.