Ikitokea wachezaji 20 wa Yanga wanavunja mikataba katikati ya ligi. Itakuwaje?

Kwani nini definition ya mgogoro? Yaani timu kila mchezaji awe na boss wake halafu kusiwe na mgogoro na mgawanyiko labda may be wewe definition ya mgogoro ina apply kwa Yanga tu. Sasa alazimishe mifano, wakati gali halisi kabla ya kuja MO ilikuwa inafahamika, kwani kabla ya kuja Mo timub yako ilikuwa chini ya akina nani?
 
Mleta mada ameuliza itakuwaje wachezaji 20 tena akasema kabisa WA YANGA wakivunja mikataba kwa wakati mmoja? Mimi nimejibu kwa kukumbusha kuwa hilo limeshawahi kutokea zaidi ya mara moja na nikatoa mifano kabisa. Lini Simba walikuwa na mgogoro wa aina hiyo anayosema mleta mada?
 
Walifukuzwa wakati ligi iko on?
 
Haihalalishi... Lakin kwann iwe baina ya hiyo club na wachezaji au taasisi? Yan kwenye club hasa kitengo cha sheria hakipo sawa hasa kwenye mikataba kuna shida na hii ni mbaya sana....
Hii ina uhusiano gan na mada inayojadiliwa?
 
Matakataka [emoji706][emoji706]
 
Tuonyeshe hata kombe la looser ! Nyie ni kima tu
 
Kuku kweli wewe jibu swali tsh ngapi?
 
Uliivamia na sasa umerudi kwenye 'sense zako'
πŸ‘πŸ‘πŸ‘ Nimesema kila ninachohitaji kusema, naacha muda utaongea.

Wale wa milioni 500 niliwajibu sana jana na leo. Ona hapa point #5. Nililisema hili sana tu watu wakaanza kuleta habari za mikataba ya ujenzi wa madaraja πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£

Hauwezi kuvuna usichopanda.

 
Hizi kelele mtanyamaza wenyewe endeleeni kutafta matakataka ya kuwafariji
 
Hizi kelele mtanyamaza wenyewe endeleeni kutafta matakataka ya kuwafariji
Hata maandiko yanasema ukipewa bure toa bure. Mlifurahi kupewa Feisal bure leo mnataka milioni 500, na kuna mtu ameanzisha uzi akisema mnataka bilioni 2 ili mtambe mjini πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£ 500m ya nyoko!

Embu niachane na hii mada.
 
Kwann unajitia wendawazimu? Nani kakuambia mkataba unavunjwa kiholela kiasi hicho? Tumia akili basi. Rudi kwenye sense please. Kwamba ukishapata maslahi bora 'elsewhere' unawea kuvunja mkataba kiholela???? Acha kuchangia mada zangu.....akili ndogo sana
 
Hata maandiko yanasema ukipewa bure toa bure. Mlifurahi kupewa Feisal bure leo mnataka milioni 500, na kuna mtu ameanzisha uzi akisema mnataka bilioni 2 ili mtambe mjini [emoji1787][emoji23][emoji1787] 500m ya nyoko!

Embu niachane na hii mada.
Huna akili kabisa
 
Madogo wa panya road mna shida sana. Sasa unaanza kuchagua nani achangie mada zako kwa kuwa kuna wengine wanasema usichotaka kusikia. Haya, kila la kheri.
 
Madogo wa panya road mna shida sana. Sasa unaanza kuchagua nani achangie mada zako kwa kuwa kuna wengine wanasema usichotaka kusikia. Haya, kila la kheri.
Mada unaiacha pembeni unajadili unayoyajua wewe. Seems uliugua sana utotoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…