Ikitokea wanawake wanaojiuza wakaisha

Ikitokea wanawake wanaojiuza wakaisha

Attachments

  • FB_IMG_1686941434662.jpg
    FB_IMG_1686941434662.jpg
    16.3 KB · Views: 8
Ubakaji hauhusiani na uwepo wa dada poa hivi sasa wapo wengi sana na bado wembe ni ule ule na siku hizi wapo wehu wanabaka watoto na kuwanajisi.

Jana usiku nilikuwa maeneo ya Mbezi round about kama unaelekea Goba pale opposite na Shule ya Msingi Mbezi nikakuta wamejaa kinadada ni hali sijawahi kuiona pale labda kwa sababu huwa napita mapema walinivuta shirt nusu lichanike.

So wapo wengi kila kona tena wameongezeka but still wanaonekena hawatoshi.
 
Back
Top Bottom