Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
na kugombea urais kwenyewe, itategemea uwezekano wa kupewa fursa hiyo ya kugombea, hasa kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo chadema,
duru za kisiasa zinaeleza, uwezekano huo upo, tena mkubwa sana, lakini pia ikiwa ni vigumu na ikishindikana, basi planB itatumika bila mbambamba yoyote ili kuimarisha uhai wa demokrasia nchini.
atagombea ubunge miongoni mwa majimbo katika mkoa wa dar, Manyara au Arusha..
unaonaje mipango mikakati hii kabambe ya kisiasa ya nguli na mkongwe huyu katika siasa za Tanzania alie kimya sana wakati huu?🐒