unaelewa waandamizi wengi chadema wakiongozwa na mkubwa wa Chama chao, wanaendelea zaidi Dr.Slaa awe mgombea urasi wao na si mwingine...Mhombea uraisi Chadema wameanza kumwandaa mwanasiasa mmoja toka kanda ya ziwa mwenye ushaw9shi sans
Sababu ya kutaka kupata kura nying9 toka kanda ya ziwa ambsko ndiko asilimia kubwa ya wapiga kura wapo na ndio kanda ambayo kura zake huamua nani awe raisi
Tundu Lisu wenyewe wanasema kura zake chache na zimetawanyika kidokifogo huku na kule ndio maana safari hii Chadema wameona waje na mtu awezaye pata kura nyingi kanda yake kama ilivyokuwa kwa Lowasa.
Lisu kanda yake haina kura nyingi ni anaokota kura za hapa na pale tu hana sehemu ambako ana mizizi ya concentration kubwa ya kura
Uwezekano wa Lisu.kugombea uraisi kupitia Chadema haupo.Anajiandaa kwenda ACT Wazalendo kujaribu Bahati yake lakini nsko kuna taarifa kuwa wapemba akina Juma Duni Haji hawamtaki kisa walimchezea rafu alipokuwa Chadema
Hivyo kwa uraisi asahau labda ajaribu ubunge
Kwani kuhaha huku kote sababu ni nini?na kugombea urais kwenyewe, itategemea uwezekano wa kupewa fursa hiyo ya kugombea, hasa kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo chadema,
duru za kisiasa zinaeleza, uwezekano huo upo, tena mkubwa sana, lakini pia ikiwa ni vigumu na ikishindikana, basi planB itatumika bila mbambamba yoyote ili kuimarisha uhai wa demokrasia nchini.
atagombea ubunge miongoni mwa majimbo katika mkoa wa dar, Manyara au Arusha..
unaonaje mipango mikakati hii kabambe ya kisiasa ya nguli na mkongwe huyu katika siasa za Tanzania alie kimya sana wakati huu?π
Shida ni nguvu ya kuwalisha wengine unachoamini wewe.siasa iko damuni,
kwani kuna ubaya wowote gentleman?π
Kwahiyo umeshwa kuwa pastor tena.sina haja kumlisha yeyote chochote,
ni vyema kila moja awe na fikra huruπ
ni muhimu zaidi kumuamini Mungu kuliko ushirikina π
Madhabahu ya Mbezi,Kawe,mwenge ama?hujui ama huna taarifa zangu za kutosha kuhusu jambo hilo gentleman?π