Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Itakuwa Niko kaburini ambako hakuna fahamu za kuelewa chochote kinachoendelea duniani, na ndio itakuwa mwisho wangu wa kushindwa kuelewa mwelekeo wa kimapinduzi makubwa ya kiuchumi ambayo hayati JPM alikuwa akiyaona huko tukiendako kama Taifa.
Ni mjinga pekee ambaye anaweza kupinga mwelekeo aliokuwa akienda nao huyu mwendazake.
Ni Rais pekee na wa kwanza na huwenda akawa wa mwisho ambaye kuingia kwake kwenye kinyang'anyiro cha urais na hadi kampeni akijinadi kuwa, Yuko tayari afe Kwa ajiri ya Tanzania.
Ni mtu mjinga tu ambaye anaweza kusema SGR sio mradi unaoharakisha maendeleo nchini
Ni mtu mpumbavu tu na mjinga kabisa ambaye anaweza kusema, JKNHP sio mradi unaoharakisha na kuleta mapinduzi ya kiuchumi nchini.
Kwa Sera za wazungu walioko Ulaya, hawataki kabisa kuona Africa ikiondokana na umasikini na kuwa tegemezi kwao. Na Kwa mantiki hii, viongozi dizaini ya Magufuli, ni Tiba ya wakoloni hawa kwa bars letu la Africa na Tanzania, wakidinda, nao wanadinda! Furu kuonyeshana ubabe tu!
Huwezi kuzuia kujengwa Bomba la mafuta Kutoka Uganda Kwa kisingizio cha uchafuzi wa mazingira ili hali kwao kuna viwanda visivyohesabika na uchafuzi wa mazingira ya kiwango cha juu kabisa!
Ikumbukwe pia, ni hao hao ambao walileta mikwara kuhusu ujenzi wa Bwawa la kuzalisha Umeme JKNHP kuwa, ni uharibifu wa mazingira, Ashukuriwe Mungu, rais aliyekuwepo kipindi hiko angelelikuwa ni muoga kama marais wengi wa Africa, JKNHP tungeisikia kwenye Bomba.
Nashangaa ni Kwanini mradi huu unachelewa sana, na wakati mradi huu ni kichocheo cha ukuaji wa viwanda na maendeleo Kwa baraka.
Ukuaji wa uchumi Afrika na Tanzania, inahitaji viongozi jasiri wasioogopa vitisho vya wazungu!
Ni wakati wa viongozi wetu kujitoa mhanga Kwa ajiri ya uchumi wa nchi zao kama ilivyokuwa Kwa Mwendazake JPM, la sivyo, njia ya kwenda kwao kukopa itakuwa ni njia ya kila siku kuliko hata ile ya viongozi wetu kwenda nyumbani kwao!
Umasikini wa nchi zetu, chanzo kikuu ni uwoga wa viongozi wetu! Na wazungu wanalijua hili! Wanawatishia nao wanakubali kitishwa.