Ikiwa bara la Afrika na Tanzania hatutaki kuongozwa na watu kama Magufuli, hatutaendelea kamwe!

Akili za watu zibadilike ili kukidhi utashi wa kiongozi aliyeko madarakani ama? Akili za watu zitabalika vipi wakati wanafunzi wanapewa ufaulu usioendana na uwezo ili kulinda sifa za kisiasa?
Unazungumzia ufaulu?
 
Akili za nyumbu wanazijua wenyewe, watakuja kutetea wahalifu hapa eti ni haki za binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…