Ikiwa Barca haitofika Fainali kuna kigezo kingine cha kutompa Messi Ballon d'or????

Ikiwa Barca haitofika Fainali kuna kigezo kingine cha kutompa Messi Ballon d'or????

Wabongo tunarahisishaga sana mpira
Zahera simkubali lakini kuna siku alitoaga kauli yake kuhusu football bado inaishi akilini mwangu na sitoifuta
Alisema "Mpira sio 1+1=2"
Mpira una mambo yake kuanzia hesabu,miiko,lugha n.k
Tusihukumu mpira kutokana na matokeo ya nyuma
 
Wananzengo napenda kuwasiliana nanaomba nisieleweke vibaya maana mm n shabiki wa arsenal napenda kusema na naomba ieleweke hivi kwenye suala Zima la uefa hakuna ligue yenye tmu Bora Kama Spain na hlo liko wazi syo liverpool tu hata tmu gani ya England inengekutana na Barca semi - final lazma wakalishwe tu Spain zinakuwaga wazembe Huku chini lakn ikifka huko juu n habar nyingine. Liverpool hawana ujanja wowote Wala mabavu kuizuia Barca isipate goli labda iwenyeme ushindi anfield lakn syo kuwanyima kupata goli. Hivyo mpaka Sasa liverpool out of championship. Final n Barca na ajax hapo Sasa lolote laweza kutokea maana ajax nao n hatar Sana na bado wananguvu na wengi ni vijana Sana.
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Let's talk about six baby
 
Naomba wampe Virgil van Dijk na kama watashindwa kumpa huyu VVD basi tuzo irudi tu kwa Messi maana kama VVD hastahili basi aliebaki na anastahili ni Lionel Messi peke yake

Dogo Kylian Mbappe hayo magoli yake mengi yanatakiwe yalete makombe makubwa na yenye ushindani kama UCL na Europa ndio tuseme nae anastahili Ballon D'or
 
Copa del Rey 🔇
Uefa🔇.
KIPIGO pamoja na kuchezewa mpira. Messi hastahili ballondoir, ballondoir apewe van dijk au Mane
 
Back
Top Bottom