Ikiwa Barca haitofika Fainali kuna kigezo kingine cha kutompa Messi Ballon d'or????

Wabongo tunarahisishaga sana mpira
Zahera simkubali lakini kuna siku alitoaga kauli yake kuhusu football bado inaishi akilini mwangu na sitoifuta
Alisema "Mpira sio 1+1=2"
Mpira una mambo yake kuanzia hesabu,miiko,lugha n.k
Tusihukumu mpira kutokana na matokeo ya nyuma
 
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Let's talk about six baby
 
Naomba wampe Virgil van Dijk na kama watashindwa kumpa huyu VVD basi tuzo irudi tu kwa Messi maana kama VVD hastahili basi aliebaki na anastahili ni Lionel Messi peke yake

Dogo Kylian Mbappe hayo magoli yake mengi yanatakiwe yalete makombe makubwa na yenye ushindani kama UCL na Europa ndio tuseme nae anastahili Ballon D'or
 
Copa del Rey 🔇
Uefa🔇.
KIPIGO pamoja na kuchezewa mpira. Messi hastahili ballondoir, ballondoir apewe van dijk au Mane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…