Una ranchi hapo?Kuna maana gani kama 90% ya tunavojifunza shuleni(msingi na sekondari) hatuvifanyii kazi?
Elimu ni ufunguo wa maisha, nakubaliana kabisa na hii kauli. Lakini tuje kwenye uhalisia mwanafunzi wa shule ya msingi anasoma sii chini ya masomo 9 hadi anamaliza darasa la 7.
Mwanafunzi wa sekondari anasoma sii chini ya masomo 7 mpaka anamaliza kidato cha 4
Sasa kuna changoto mimi binafsi naiona hapo, kwanini tusingejifunza vile ambavyo tutavifanyia kazi?
Kitu gani wewe mdau umewahi kujifunza katika elimu uliyoipata na hujakifanyia kazi? Mimi naanza na four figureπ
Nadhani nafaa kuendorse hii commentHautumii asilimia 90 sawa ila wewe ndio utaamua katika hizo 100 utumie 10 zipi
hivyo unapewa chaguo kubwa baadae uchague kinachokufaa
ulipo kuwa mtoto ulitaka kuwa rubani ulivyokuwa mkubwa ukatambua hesabu hujui
ukaangukia kwenye siasa ukapiga watu ukawa ole sabaya
Mkuu vipi wale hawajasoma mlundikano wa masomo na maisha yanaendelea tena kuwazidi wenye madigrii. Kuna watu hawajasomea kabisa biashara na wanaendesha biashara, tena wapo malaki kila mkoa.Hautumii asilimia 90 sawa ila wewe ndio utaamua katika hizo 100 utumie 10 zipi
hivyo unapewa chaguo kubwa baadae uchague kinachokufaa
ulipo kuwa mtoto ulitaka kuwa rubani ulivyokuwa mkubwa ukatambua hesabu hujui
ukaangukia kwenye siasa ukapiga watu ukawa ole sabaya
Hahaha sasa ingekua izo 90% tumeziweka kwenye mambo yale tunayofanyia kazi, tusingepata kina SabayaHautumii asilimia 90 sawa ila wewe ndio utaamua katika hizo 100 utumie 10 zipi
hivyo unapewa chaguo kubwa baadae uchague kinachokufaa
ulipo kuwa mtoto ulitaka kuwa rubani ulivyokuwa mkubwa ukatambua hesabu hujui
ukaangukia kwenye siasa ukapiga watu ukawa ole sabaya
Ni kweli unachosema mkuu, japo nadhani wakipunguza vipo vitakavyopungua. Kwa mfano anaesoma kidato cha 5 na 6 anasoma vichache na vinakuja kumsaidia akiwa chuoni. Mfano pia mwalimu wa Art unakuta alisoma masomo ya sayansi lkn hakuyatumia kufundishia popote...anakua hajafanyia kazi japo alisomeaMkuu vipi wale hawajasoma mlundikano wa masomo na maisha yanaendelea tena kuwazidi wenye madigrii. Kuna watu hawajasomea kabisa biashara na wanaendesha biashara, tena wapo malaki kila mkoa.
Wengine wanalima ila hawajawahi soma kilimo na wanamashamba makubwa kuliko hata mabwmwana shamba.
Kusoma masomo mengi ni utamaduni tu wala hauna tija, hata yakipunguzwa masomo hakuna kitakachopungua.
Ulivyokuwa unasoma jiographia ulifikiri unasoma ili iwejeMkuu vipi wale hawajasoma mlundikano wa masomo na maisha yanaendelea tena kuwazidi wenye madigrii. Kuna watu hawajasomea kabisa biashara na wanaendesha biashara, tena wapo malaki kila mkoa.

Uko sahihi mkuu wangu.Ulivyokuwa unasoma jiographia ulifikiri unasoma ili iweje
kwamba njombe inaongoza kwa kulima viazi
sasa kama unataka kulima viazi utaenda mtwara au njombe ulipojifunza darasa la tatu ?
tuliza akili usitake kubishana kuna vitu basic ulijifunza wakati upo shule ya msingi leo unatumia ulipo
wewe unataka vifanye kazi kwa pamojaUko sahihi mkuu wangu.
Jiulize pia utakua umetumia asilimia ngapi ya vile ulivyosoma shule ya msingi au sekondari? Vingapi umesoma lakini hujavifanyia kazi
Uchavushaji aisee! π πKujua parts za Ua na Panzi [emoji2]